MADAHA AVUTIWA NA FREEMASON
![](http://api.ning.com:80/files/BPpJiWHQYV3mG2po48ug7yIVbzL2OWUeOMNV0pmNXcynitMwUCo4gVq9JTO8swkMjqV02QaORglkIAYTCOyPJCVtRYMP2Rds/bby.jpg)
Stori: Mayasa Mariwata/Ijumaa Wikienda STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya aina yake baada ya kusema anavutiwa na taasisi huru ya imani ya Freemason kutokana na umakini mkubwa walionao kwenye kazi zao. Akipiga stori na paparazi wetu, Baby alisema watu wengi wamekuwa wakizungumza kwa mitazamo tofauti kuhusiana na Freemason lakini kiuhalisia, watu wa imani hiyo ni makini wanaojitambua na kujiheshimu....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies02 Feb
Madaha :Nawazimikia Freemason!!!
Mwanamuziki na mwigizaji wa filamu, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya aina yake baada ya kusema anavutiwa na taasisi huru ya imani ya Freemason kutokana na umakini mkubwa walionao kwenye kazi zao.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Baby alisema watu wengi wamekuwa wakizungumza kwa mitazamo tofauti kuhusiana na Freemason lakini kiuhalisia, watu wa imani hiyo ni makini wanaojitambua na kujiheshimu.
“Hawa jamaa kiukweli siyo wa kuchezewa kabisa, lakini ukweli tu ni kwamba nawazimikia mno na...
10 years ago
Habarileo10 Feb
Kiongozi wa Wasabato avutiwa na Tanzania
KANISA la Waadventista Wasabato (SDA) duniani limeipongeza Tanzania na Watanzania kwa kulinda amani nchini na pia kusaidia kuleta na kuinua kiwango cha amani na utulivu katika nchi nyingine katika eneo la Afrika Mashariki na Kati.
11 years ago
Habarileo06 Jul
Kikwete avutiwa na maonesho Sabasaba
RAIS Jakaya Kikwete ametembelea Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Sabasaba kwa na kusema ameridhishwa na ubora wa bidhaa za Tanzania ulivyoongezeka, ikiwa ni pamoja na ufungashaji wa kisasa.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Balozi Escure avutiwa mapango ya Amboni
BALOZI wa Ufaransa nchini, Marcel Escure, ameahidi nchi yake itashirikiana kwa karibu na Wizara ya Maliasili na Utalii kulifanya eneo la Mapango ya Amboni, mkoani Tanga kuwa maalumu la utalii...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Bushiri avutiwa kiwango KMKM vs Yanga
KOCHA wa mabingwa wa soka visiwani Zanzibar, KMKM, Ally Bushiri, amesema ameridhishwa na kiwango cha timu yake katika mechi ya juzi dhidi ya Yanga Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Christina Aguilera avutiwa na Janet Jackson
MWANAMUZIKI wa miondoko ya Pop na RnB nchini Marekani, Christina Aguilera, amesema ana vigezo vitatu vinavyomfanya avutiwe na msanii mwezake, Janet Jackson.
Akizungumza na Jarida moja maarufu la burudani nchini humo, Christina alisema alipokuwa mdogo alikuwa akimfuatilia Janet Jackson kwenye runinga na alijikuta akivutiwa naye hadi alipoingia katika muziki akaendelea kuvutiwa naye.
“Nilikuwa napenda anavyocheza kwenye video zake na zaidi ilikuwa sauti yake ya kimahaba ‘Sexiest Voice’ ndiyo...
10 years ago
Habarileo11 Oct
Pinda avutiwa na kasi ya mabadiliko SUA
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amevutiwa na kasi ya mabadiliko katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na hasa uanzishwaji wa kozi mpya zinazolenga kuongeza thamani ya mazao ya kilimo (Agri-processing).
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Kikwete akabidhi ofisi, avutiwa na kasi ya Magufuli
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PDSzQi3NoNA/VNCEIuEcuLI/AAAAAAAHBQY/MRvrUl9x-tc/s72-c/PMM.png)
WAZIRI MKUU AVUTIWA NA SHAMBA LA KAHAWA SONGEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-PDSzQi3NoNA/VNCEIuEcuLI/AAAAAAAHBQY/MRvrUl9x-tc/s1600/PMM.png)
Amesema katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi saba, eneo kubwa la shamba limepandwa miche ya kahawa na mingine imezaa na imeshavunwa ikilinganishwa na wakati alipofika shambani hapo Julai 2013 na kutembelea tu kitalu cha miche ya zao hilo.
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumatatu, Februari 2, 2015)...