Kiongozi wa Wasabato avutiwa na Tanzania
KANISA la Waadventista Wasabato (SDA) duniani limeipongeza Tanzania na Watanzania kwa kulinda amani nchini na pia kusaidia kuleta na kuinua kiwango cha amani na utulivu katika nchi nyingine katika eneo la Afrika Mashariki na Kati.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Feb
Kiongozi wa Wasabato duniani kuwasili leo
KIONGOZI wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) duniani, Askofu Ted Wilson (pichani) anatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ziara ya kikanisa ya siku nne.
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA DIVISHENI YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI WA KANISA LA WAADIVENTISTA WASABATO AWEKA JIWE LA MSINGI LA MSINGI KATIKA KANISA LA WASABATO KIGAMBONI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BPpJiWHQYV3mG2po48ug7yIVbzL2OWUeOMNV0pmNXcynitMwUCo4gVq9JTO8swkMjqV02QaORglkIAYTCOyPJCVtRYMP2Rds/bby.jpg)
MADAHA AVUTIWA NA FREEMASON
9 years ago
StarTV28 Dec
Waadventista wasabato watakiwa kufanya kazi
Kanisa la waadventista wasabato mtaa wa Sabasaba wilayani Tarime mkoani Mara limewataka waumini wa kanisa hilo kuienzi kauli mbiu ya Rais John Magufuli ya hapa kazi tu kwa kufanya kazi kama yalivyo maagizo ya Mwenyezi Mungu.
Kauli hiyo imetolewa na mkurugenzi wa mawasiliano wa kanisa la waadventista wasabato jimbo la Mara mchungaji Joseph Matongo katika ibada maalum ya sabato ya 52 ambayo ni sabato ya mwisho ya mwaka 2015.
Mchungaji matongo amesema, baada ya mh Raisi Magufuli kuja na kauli...
10 years ago
Habarileo15 Dec
Wasabato watakaokeketa watoto Kitunda kufutwa
MCHUNGAJI wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mtaa wa Kitunda, Sadick Lukinga, amewaonya washiriki wa kanisa hilo walioko katika mtaa huo, ambao watashiriki kuwakeketa watoto wao wa kike watafutwa ushirika wa kanisa hilo.
10 years ago
Habarileo23 Mar
Wasabato walaani ukatili kwa albino
KANISA la Waadventista Wasabato Nyanda za Juu Kusini, limelaani visa vya kikatili wanavyotendewa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), ikiwemo kukatwa viungo vyao na kuuawa, likisema watu wanaowatendea uovu huo wamelaaniwa na Mungu.
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
UDA yawapiga jeki Waanglikana, Wasabato
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA), limechangia sh milioni 20 kwa makanisa ya Anglikana na Waadventista Wasabato yaliyopo Tabata Segerea, jijini. Akikabidhi michango hiyo, Mkurugenzi wa Bodi ya UDA,...
10 years ago
Habarileo04 Feb
Wasabato wazindua kituo cha vitabu
KANISA la Waadventista Wasabato nchini limezindua kituo kikubwa cha vitabu ambavyo lengo lake ni kuipatia jamii elimu bora katika maeneo ya afya, malezi bora ya ujana na vyakula vinavyofaa kwa lengo la kulinda afya ya binadamu.
11 years ago
Habarileo06 Jul
Kikwete avutiwa na maonesho Sabasaba
RAIS Jakaya Kikwete ametembelea Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Sabasaba kwa na kusema ameridhishwa na ubora wa bidhaa za Tanzania ulivyoongezeka, ikiwa ni pamoja na ufungashaji wa kisasa.