Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongozi wa Wasabato duniani kuwasili leo

KIONGOZI wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) duniani, Askofu Ted Wilson (pichani) anatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ziara ya kikanisa ya siku nne.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kiongozi wa Wasabato avutiwa na Tanzania

KANISA la Waadventista Wasabato (SDA) duniani limeipongeza Tanzania na Watanzania kwa kulinda amani nchini na pia kusaidia kuleta na kuinua kiwango cha amani na utulivu katika nchi nyingine katika eneo la Afrika Mashariki na Kati.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA DIVISHENI YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI WA KANISA LA WAADIVENTISTA WASABATO AWEKA JIWE LA MSINGI LA MSINGI KATIKA KANISA LA WASABATO KIGAMBONI

Katibu Mkuu wa Divisheni ya Afrika Mashariki na kati wa Kanisa la Waadiventista Wasabato, Dkt. Nathaniel Walemba, akifungua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la kanisa la Waadiventista Wasabato Kigamboni jana mchana, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya extra vaganza yanayoendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Divisheni ya Afrika Mashariki na kati wa Kanisa la Waadiventista Wasabato, Dkt. Nathaniel Walemba, (wa nne kutoka kushoto), akiwa katika picha ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA SHEREHE ZA UTUME (MISSION EXTRAVAGANZA) ZA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani kwenye sherehe za uzinduzi wa Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) zilizofanyika leo Februari 06,2015 uwanja wa Taifa jijini                 Dar es salaam. Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani wakiwa kwenye maandamano wakati wa sherehe za uzinduzi wa Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) wa kanisa hilo zilizofanyika leo Februari 06,2015 uwanja wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwili wa Mgimwa kuwasili leo

MWILI wa Waziri wa Fedha na Uchumi, William Mgimwa (63), aliyefariki juzi nchini Afrika Kusini baada ya kuugua kwa muda mrefu, unatarajiwa kuwasili nchini leo. Akitangaza ratiba ya kuwasili kwa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Timu kuanza kuwasili leo

TIMU zinazoshiriki michuano ya Kagame zinatarajia kuanza kuwasili nchini leo na kesho kwa ajili ya michuano hiyo inayotarajia kutimua vumbi keshokutwa katika viwanja vya Taifa na Karume jijini Dar es Salaam.

Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto alisema jana kuwa timu zinazowasili leo ni Al Shandy (Sudan), Al Malakia (Sudan Kusini) na KMKM kutoka Zanzibar.

Alisema Al Shandy wanatarajiwa kuwasili leo saa 3 asubuhi na ndege ya (KQ), KMKM wakitarajiwa...

 

9 years ago

Habarileo

Waangalizi wa EU kuwasili nchini leo

WAANGALIZI wa muda mfupi 60 kutoka Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU-EOM) watawasili Dar es Salaam leo ili kuangalia uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

MWILI WA DR KIGODA KUWASILI LEO NCHINI

MAREHEMU Dk Abdalala Kigoda enzi za uhai wake(Pichani) 
 Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Abdalala Kigoda aliyefariki  nchini India unatarajia kuwasili leo mchana tayari kwa ajili ya mazishi.
Ofisa habari wa Bunge, Prosper Minja ameiambia Mwananchi kuwa mwili huo utawasili saa nane mchana kwa ndege ya Emirates na kwenda kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya jeshi ya Lugalo.
Minja amefafanua kuwa shughuli za kuaga mwili huo zitafanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee kuanzia saa mbili...

 

9 years ago

Habarileo

Mwili wa Kombani kuwasili Dar leo

MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, unatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam leo saa 9 alasiri kutoka nchini India, alikofariki wakati akipatiwa matibabu ya saratani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani