Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwili wa Mgimwa kuwasili leo

MWILI wa Waziri wa Fedha na Uchumi, William Mgimwa (63), aliyefariki juzi nchini Afrika Kusini baada ya kuugua kwa muda mrefu, unatarajiwa kuwasili nchini leo. Akitangaza ratiba ya kuwasili kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mwili wa Dk Mgimwa kuwasili kesho mchana

Marehemu Dk William MgimwaMWILI wa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa unatarajiwa kuwasili nchini kesho mchana kwa ndege ya Afrika Kusini.

 

9 years ago

Habarileo

Mwili wa Kombani kuwasili Dar leo

MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, unatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam leo saa 9 alasiri kutoka nchini India, alikofariki wakati akipatiwa matibabu ya saratani.

 

9 years ago

Michuzi

MWILI WA DR KIGODA KUWASILI LEO NCHINI

MAREHEMU Dk Abdalala Kigoda enzi za uhai wake(Pichani) 
 Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Abdalala Kigoda aliyefariki  nchini India unatarajia kuwasili leo mchana tayari kwa ajili ya mazishi.
Ofisa habari wa Bunge, Prosper Minja ameiambia Mwananchi kuwa mwili huo utawasili saa nane mchana kwa ndege ya Emirates na kwenda kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya jeshi ya Lugalo.
Minja amefafanua kuwa shughuli za kuaga mwili huo zitafanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee kuanzia saa mbili...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwili wa Balozi Kazaura kuwasili nchini leo

Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura (74), unatarajiwa kuwasili nchini leo ukitokea Chennai, India alikokwenda kwa matibabu ya saratani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwili wa mtoto Imran kuwasili nchini leo

Mwili wa mtoto Imran Mwerangi aliyefariki dunia katika Hospitali ya Apollo, India alikokuwa amepelekwa kwa matibabu, unatarajiwa kuwasili leo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Celina Kombani afariki dunia nchini India leo, mwili wake watarajiwa kuwasili nchini JUMATATU

kombani

Majonzi makubwa  lufuatia taarifa za msiba  jioni ya leo Septemba 24.2015, Aliyekuwa  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeshi Kombani (56),  amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani. 

Tayari mamlaka husika ikiwemo Serikali na Bunge  kupitia  ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kubainisha kuwa, mwili wa marehemu unategemewa kuwasili  Tanzania, siku ya Jumatatu, na shughuli zote Bunge na Serikali zitasimamia...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwili wa Dk Kigoda kuwasili kesho

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Abdalala Kigoda aliyefariki jana nchini India unatarajia kuwasili kesho mchana tayari kwa ajili ya mazishi.

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA KUWASILI MWILI WA BALOZI KAZAURA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akiwapa pole baadhi ya ndugu wa marehemu. Mwili wa Balozi Kazaura ukiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.…

 

11 years ago

GPL

MWILI WA AMINA NGALUMA KUWASILI DAR IJUMAA HII

Mwimbaji mahiri nchini aliyefariki dunia wiki iliyopita huko Thailand, Amina Ngaluma. Na Mwandishi Wetu
MWILI wa mwimbaji mahiri nchini aliyefariki dunia wiki iliyopita nchini Thailand, Amina Ngaluma ‘Japanese’ unatarajiwa kuwasili Dar es Salaam Ijumaa wiki hii. Kwa mujibu wa mume wa marehemu, Rashid Sumuni tayari taratibu muhimu kuhusiana na kuuleta mwili huo nyumbani zimefanyika na wana amini mambo yataenda kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani