Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwili wa Dk Kigoda kuwasili kesho

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Abdalala Kigoda aliyefariki jana nchini India unatarajia kuwasili kesho mchana tayari kwa ajili ya mazishi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MWILI WA DR KIGODA KUWASILI LEO NCHINI

MAREHEMU Dk Abdalala Kigoda enzi za uhai wake(Pichani) 
 Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Abdalala Kigoda aliyefariki  nchini India unatarajia kuwasili leo mchana tayari kwa ajili ya mazishi.
Ofisa habari wa Bunge, Prosper Minja ameiambia Mwananchi kuwa mwili huo utawasili saa nane mchana kwa ndege ya Emirates na kwenda kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya jeshi ya Lugalo.
Minja amefafanua kuwa shughuli za kuaga mwili huo zitafanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee kuanzia saa mbili...

 

11 years ago

Habarileo

Mwili wa Dk Mgimwa kuwasili kesho mchana

Marehemu Dk William MgimwaMWILI wa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa unatarajiwa kuwasili nchini kesho mchana kwa ndege ya Afrika Kusini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwili wa Mgimwa kuwasili leo

MWILI wa Waziri wa Fedha na Uchumi, William Mgimwa (63), aliyefariki juzi nchini Afrika Kusini baada ya kuugua kwa muda mrefu, unatarajiwa kuwasili nchini leo. Akitangaza ratiba ya kuwasili kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Mwili wa Kombani kuwasili Dar leo

MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, unatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam leo saa 9 alasiri kutoka nchini India, alikofariki wakati akipatiwa matibabu ya saratani.

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA KUWASILI MWILI WA BALOZI KAZAURA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akiwapa pole baadhi ya ndugu wa marehemu. Mwili wa Balozi Kazaura ukiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.…

 

11 years ago

Mwananchi

Mwili wa Balozi Kazaura kuwasili nchini leo

Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura (74), unatarajiwa kuwasili nchini leo ukitokea Chennai, India alikokwenda kwa matibabu ya saratani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwili wa mtoto Imran kuwasili nchini leo

Mwili wa mtoto Imran Mwerangi aliyefariki dunia katika Hospitali ya Apollo, India alikokuwa amepelekwa kwa matibabu, unatarajiwa kuwasili leo.

 

9 years ago

Vijimambo

MWILI WA MAREHEMU DK KIGODA WAPOKELEWA JIJINI DAR

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizungumza na vyombo vya habari jinsi alivyomfahamu aliyekuwa waziri wa Viwanda na Biashara, marehemu Dk Abdallah Kigoda wakati wa mapokezi ya mwili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam jioni hii, ukitokea India ambako alipatwa na mauti. Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, na Mgombea ubunge Jimbo la Handeni kupitia CCM, marahemu Dk Abdallah Kigoda, ukihamishiwa kwenye gari lingine wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani