Mwili wa mtoto Imran kuwasili nchini leo
Mwili wa mtoto Imran Mwerangi aliyefariki dunia katika Hospitali ya Apollo, India alikokuwa amepelekwa kwa matibabu, unatarajiwa kuwasili leo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi14 Oct
MWILI WA DR KIGODA KUWASILI LEO NCHINI
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/aYXCtMiM1SrR4T-dKZInezrtNLUhQOv67Vj0gf9ayhrpBoaJ7l3YZIXzqp2G7TNKuuFV7nkK_aMgBQ2HqkudW9Mj1hHz07gXIqrmb4aTZEXzE4Gn38gHx-wlYvT89ju55rip96p7isqjFrFQiraMosGeyLbdR-0MarFXB-MER-F5xLjF6saM=s0-d-e1-ft#http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2911698/highRes/1146707/-/maxw/600/-/114434kz/-/Abdallah+Kigoda+Photo.jpg)
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Abdalala Kigoda aliyefariki nchini India unatarajia kuwasili leo mchana tayari kwa ajili ya mazishi.
Ofisa habari wa Bunge, Prosper Minja ameiambia Mwananchi kuwa mwili huo utawasili saa nane mchana kwa ndege ya Emirates na kwenda kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya jeshi ya Lugalo.
Minja amefafanua kuwa shughuli za kuaga mwili huo zitafanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee kuanzia saa mbili...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Mwili wa Balozi Kazaura kuwasili nchini leo
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Waziri Celina Kombani afariki dunia nchini India leo, mwili wake watarajiwa kuwasili nchini JUMATATU
Majonzi makubwa lufuatia taarifa za msiba jioni ya leo Septemba 24.2015, Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeshi Kombani (56), amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani.
Tayari mamlaka husika ikiwemo Serikali na Bunge kupitia ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kubainisha kuwa, mwili wa marehemu unategemewa kuwasili Tanzania, siku ya Jumatatu, na shughuli zote Bunge na Serikali zitasimamia...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Mwili wa Mgimwa kuwasili leo
MWILI wa Waziri wa Fedha na Uchumi, William Mgimwa (63), aliyefariki juzi nchini Afrika Kusini baada ya kuugua kwa muda mrefu, unatarajiwa kuwasili nchini leo. Akitangaza ratiba ya kuwasili kwa...
9 years ago
Habarileo26 Sep
Mwili wa Kombani kuwasili Dar leo
MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, unatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam leo saa 9 alasiri kutoka nchini India, alikofariki wakati akipatiwa matibabu ya saratani.
9 years ago
Habarileo18 Oct
Waangalizi wa EU kuwasili nchini leo
WAANGALIZI wa muda mfupi 60 kutoka Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU-EOM) watawasili Dar es Salaam leo ili kuangalia uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-IKAaiarNfvI/VM6dNxNCe3I/AAAAAAAHAzY/vnwaVWTlhtA/s72-c/unnamed%2B(90).jpg)
Makamu mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU e.V) kuwasili nchini leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-IKAaiarNfvI/VM6dNxNCe3I/AAAAAAAHAzY/vnwaVWTlhtA/s1600/unnamed%2B(90).jpg)
Akiwa nchini atafanya mazungumzo na uongozi wa taasisi mbali mbali zikiwepo TIC, Basata, Wizara ya Ardhi,Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo pamoja na mashirika ya NSSF, NHC, Tanzania Diaspora Initiative.
Mazungumzo hayo yatalenga upatikanaji wa Fursa zilizopo Tanzania kwa Diaspora....
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Mwili wa Dk Kigoda kuwasili kesho
11 years ago
GPLTASWIRA ZA KUWASILI MWILI WA BALOZI KAZAURA