Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasabato wazindua kituo cha vitabu

KANISA la Waadventista Wasabato nchini limezindua kituo kikubwa cha vitabu ambavyo lengo lake ni kuipatia jamii elimu bora katika maeneo ya afya, malezi bora ya ujana na vyakula vinavyofaa kwa lengo la kulinda afya ya binadamu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Kandanda Day 2015 yafungua mwaka kwa kukabidhi vitabu na mipira katika kituo cha watoto.

Baada ya kufanikisha kwa Tamasha la siku ya Kandanda hapo Oktoba 17 mwaka jana, Tamasha lililobeba Ujumbe wa "#OneBallOnTxt Book" ikiwa ni Dhima kamili ya kunyanyua Mchezo wa mpira wa miguu kuanzia ngazi ya shule ya msingi na kuwasisitizia watoto wetu umuhimu wa kusoma pia, Timu nzima ya Wanakandanda imeonelea Kuufungua Mwaka 2016 kwa kwenda kutembelea Kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na kukabidhi Mchango wao ambao ulitokana na mauzo ya fulana za Tamasha la Siku ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19

home gymKituo cha Mazoezi cha Home Gym…

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa  kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea  wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.

Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...

 

9 years ago

Michuzi

JUST IN: KITUO CHA MICHEZO CHAENDELEA KUJIZATITI Aliyekuwa Kocha kwenye Ligi Kuu ya Uingereza aja Tanzania kuongoza kituo cha vijana cha michezo

Ndugu Ray Power, ambaye amewahi kuwa Kocha wa Chama Cha Soka na mkuu wa kitengo cha mpira wa miguu katika chuo kiitwacho Central College Nottingham; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi katika Kituo cha Vijana cha Michezo kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam (pichani). Katika nafasi yake mpya, Ndugu Power atasimamia mafunzo na Uongozi wa kituo kipya ambacho kinategemewa kufunguliwa tarehe 19 ya Mwezi huu. Ndugu Power anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA DIVISHENI YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI WA KANISA LA WAADIVENTISTA WASABATO AWEKA JIWE LA MSINGI LA MSINGI KATIKA KANISA LA WASABATO KIGAMBONI

Katibu Mkuu wa Divisheni ya Afrika Mashariki na kati wa Kanisa la Waadiventista Wasabato, Dkt. Nathaniel Walemba, akifungua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la kanisa la Waadiventista Wasabato Kigamboni jana mchana, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya extra vaganza yanayoendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Divisheni ya Afrika Mashariki na kati wa Kanisa la Waadiventista Wasabato, Dkt. Nathaniel Walemba, (wa nne kutoka kushoto), akiwa katika picha ya...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO CHA TAIFA CHA UTALII WAZINDUA KIOTA CHA BURUDANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Taifa cha utalii, Rosada Musoma akizindua kwa kukata utepe kiota cha burudani cha Goldbar and Restaurant katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mkurugenzi kitengo cha Biashara wa chuo cha Taifa cha Utalii (NCT),Neema Chololo Kusiga akizungumza mara baada ya uzinduzi wa kiota cha burudani cha Goldbar and Restaurant kilichopo katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.    Mkurugenzi...

 

9 years ago

Michuzi

Kituo cha kisasa cha michezo kwa vijana cha JMK cha Kidongo Chekundu kuzinduliwa Oktoba 19, 2015

 Sehemu ya viwanja vya mpira wa kikapu katika kituo cha kisasa kabisa cha Michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam  vimekamilika, saambmba na viwanja vya soka na michezo mingine. Kituo hiki cha Vijana cha Michezo mbalimbali kinachodhaminiwa na Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza cha Sunderland kwa kushirikiana na kampuni ya umeme ya Symbion Power kinatarjiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 19 Oktoba mwaka huu. 

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKABIDHI VITABU CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA(NATIONAL DEFENCE COLLEGE)

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange vitabu kwaajili ya Chuo Cha ulinzi cha Taifa National Defence College(NDC) katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho cha NDC Meja Jenerali Gaudence Milanzi.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue,Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange,Mkuu wa Chuo Cha NDC Meja Jenerali Gaudence Milanzi...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe.

BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo nilichopiga kura mimi. Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe. Kituo namba 1. Kura za Maalim Seif ni 317 na za Dk Shein ni 5. Kituo namba […]

The post BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe. appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani