Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOVA AHUSISHWA NA FREEMASON

Stori: Makongoro Oging’ KIMENUKA! Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova, wiki iliyopita alifunguka kuwa, kuna watu wamekuwa wakimhusisha na imani ya Freemason.
Kamanda Kova aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya usalama wa mkoa wake kuelekea Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akizungumza na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mwingereza ahusishwa Simba

SimbaNA MWANDISHI WETU
UONGOZI wa timu ya Simba kwa sasa upo kwenye mchakato wa kusaka kocha mkuu mpya baada ya kuachana na Mserbia, Goran Kopunovic, aliyeiongoza timu hiyo kushika nafasi ya tatu Ligi Kuu msimu uliopita.
Habari zilizolifika MTANZANIA jana zimeeleza kuwa Simba ilikuwa kwenye mazungumzo na wakala wa kocha mmoja raia wa England, ambaye jina lake lilifichwa aliyewahi kufanya kazi nchini Afrika Kusini.
“Wakala wake katua nchini juzi (wikiendi iliyopita) na wamefanya naye mazungumzo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC ahusishwa mapigano Igunga

MKUU wa Wilaya (DC) ya Kishapu, Wilson Mkambaku, amehusishwa kuwa nyuma ya mapigano yaliyozuka  kati ya  wakulima na wafugaji katika Kijiji cha Isakamaliwa, wilayani Igunga, Tabora na kusababisha watu watano...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamfalme ahusishwa na unyanyasaji UK

Kasri ya Buckingham imepinga madai kwamba mmoja ya wana wa malkia Mwanamfalme Andrew amekuwa akijihusisha na tabia mbaya

 

10 years ago

BBCSwahili

Straus Kahn ahusishwa na ukahaba

Aliyekuwa mkuu wa shirika la fedha duniani IMF,Dominique Strauss Kahn ameshtakiwa kwa kuhusika na mtandao wa ukahaba

 

10 years ago

BBCSwahili

M'marekani ahusishwa na fedha bandia UG

Mamlaka ya Marekani imemkamata raia mmoja wa taifa hilo kwa kuongoza kashfa ya kimataifa ya fedha bandia

 

9 years ago

Mtanzania

Ulimwengu ahusishwa kutua Ufaransa

thomas-ulimwenguNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

NYOTA ya mshambuliaji wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Thomas Ulimwengu, imezidi kung’ara baada ya kupata dili lingine barani Ulaya.

Klabu ya TP Mazembe imethibitisha kupokea ofa kutoka klabu ya AS Sainti Etienne inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1 na huenda straika huyo akaungana na Mbwana Samatta kucheza soka la kulipwa barani Ulaya baada ya taarifa za mshambuliaji huyu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Spika ahusishwa na kashfa ya kuwauza watoto

Spika wa bunge la Niger ametoroka baada ya kamati ya bunge hilo kuafikia kukamatwa kwake kuhusiana na kashfa ya kuwauza watoto.

 

5 years ago

Michuzi

Rais wa PSG ahusishwa na makosa ya jinai

Rais wa klabu ya Paris Saint German (PSG) Nasser Al Khelaifi.
Yassir Simba , Michuzi tvRAIS wa klabu ya Paris Saint German (PSG) Nasser Al Khelaifi  amehusishwa na makosa ya jinai nchini Swirzerland dhidi ya Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Dunia FIFA Jerome Valcke.
Kupitia mtandao wa habari za kimichezo goal.com umesema taarifa iliyotoka katika ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Nchini Switzerland imedai kwamba raisi huyo wa klabu ya PSG alimpatia rushwa ya kiasi cha fedha euro million 1.25...

 

10 years ago

Vijimambo

Muhongo ahusishwa wizi nyaraka za Escrow bungeni

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, ametajwa kuwa na uhusiano wa karibu na mmoja kati ya vijana wawili wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuiba kutoka Ofisi ya Katibu wa Bunge ripoti ya ukaguzi wa hesabu za zaidi ya Sh. bilioni 300 zilizochotwa kifisadi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Ukaguzi huo ulifanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani