Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwingereza ahusishwa Simba

SimbaNA MWANDISHI WETU
UONGOZI wa timu ya Simba kwa sasa upo kwenye mchakato wa kusaka kocha mkuu mpya baada ya kuachana na Mserbia, Goran Kopunovic, aliyeiongoza timu hiyo kushika nafasi ya tatu Ligi Kuu msimu uliopita.
Habari zilizolifika MTANZANIA jana zimeeleza kuwa Simba ilikuwa kwenye mazungumzo na wakala wa kocha mmoja raia wa England, ambaye jina lake lilifichwa aliyewahi kufanya kazi nchini Afrika Kusini.
“Wakala wake katua nchini juzi (wikiendi iliyopita) na wamefanya naye mazungumzo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mwingereza atajwa Tamasha la Pasaka

MWIMBAJI wa kimataifa raia wa Uingereza, Ayobami David  ni mmoja wa waimbaji wanaopenekezwa sana na mashabiki waalikwe katika onesho la miaka 15 ya Tamasha la Pasaka nchini. Ayobami ni mwimbaji ambaye anafanya vizuri katika muziki huo wa Kumtukuza Mungu kupitia nyimbo  mbalimbali.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama alisema katika taarifa yake kuwa mwaka huu wanataka kutoka kivingine. “Mashabiki wamekuwa wakiomba tumualike Ayobami, bado tunapokea maoni...

 

10 years ago

GPL

MWINGEREZA ALIYESILIMU AUAWA AKIWA NA AL-SHABAAB KENYA

Mpiganaji wa Al Shabaab, Thomas Evans aliyeuawa kwenye mapigano ya kundi hilo dhidi ya Jeshi la Kenya, anadaiwa kuwa raia wa Uingereza . Wapiganaji 11 wa Al Shabaab wakiwa wameuawa baada ya mapigano makali na Jeshi la Kenya  huko Lamu.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwingereza Jermaine Grant afungwa jela Kenya

Mwanamume mmoja raia wa Uingereza, anayetuhumiwa kupanga mashambulio ya kigaidi, amefungwa jela miaka tisa na mahakama mjini Mombasa.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Rais Obama alivyokwenda vichakani na mwingereza mpenda pori maarufu

 Miezi michache iliyopita niliandika habari za Mwingereza maarufu Ewdard “Bear” Grylls. Jamaa huyu mwenye miaka 41 alikuwa askari wa kikosi maalumu, kinachofanya mashambulizi ya siri wakati mgumu, vitani. Sasa vikosi kama hivi (ambavyo huwa vya wapiganaji wachache tu) vinatumika kushambulia magaidi wa Uarabuni wanaokata kata vichwa na kuua wanawake, vilema, watoto na wazee. Neno jingine kuwaeleza laweza kuwa “komando” kwa Kiswahili cha kukopa ..Au “ninja.”

 

10 years ago

GPL

KOVA AHUSISHWA NA FREEMASON

Stori: Makongoro Oging’ KIMENUKA! Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova, wiki iliyopita alifunguka kuwa, kuna watu wamekuwa wakimhusisha na imani ya Freemason.
Kamanda Kova aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya usalama wa mkoa wake kuelekea Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akizungumza na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamfalme ahusishwa na unyanyasaji UK

Kasri ya Buckingham imepinga madai kwamba mmoja ya wana wa malkia Mwanamfalme Andrew amekuwa akijihusisha na tabia mbaya

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC ahusishwa mapigano Igunga

MKUU wa Wilaya (DC) ya Kishapu, Wilson Mkambaku, amehusishwa kuwa nyuma ya mapigano yaliyozuka  kati ya  wakulima na wafugaji katika Kijiji cha Isakamaliwa, wilayani Igunga, Tabora na kusababisha watu watano...

 

9 years ago

Mtanzania

Ulimwengu ahusishwa kutua Ufaransa

thomas-ulimwenguNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

NYOTA ya mshambuliaji wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Thomas Ulimwengu, imezidi kung’ara baada ya kupata dili lingine barani Ulaya.

Klabu ya TP Mazembe imethibitisha kupokea ofa kutoka klabu ya AS Sainti Etienne inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1 na huenda straika huyo akaungana na Mbwana Samatta kucheza soka la kulipwa barani Ulaya baada ya taarifa za mshambuliaji huyu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Straus Kahn ahusishwa na ukahaba

Aliyekuwa mkuu wa shirika la fedha duniani IMF,Dominique Strauss Kahn ameshtakiwa kwa kuhusika na mtandao wa ukahaba

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani