KUTOKA LONDON : Rais Obama alivyokwenda vichakani na mwingereza mpenda pori maarufu
 Miezi michache iliyopita niliandika habari za Mwingereza maarufu Ewdard “Bear†Grylls. Jamaa huyu mwenye miaka 41 alikuwa askari wa kikosi maalumu, kinachofanya mashambulizi ya siri wakati mgumu, vitani. Sasa vikosi kama hivi (ambavyo huwa vya wapiganaji wachache tu) vinatumika kushambulia magaidi wa Uarabuni wanaokata kata vichwa na kuua wanawake, vilema, watoto na wazee. Neno jingine kuwaeleza laweza kuwa “komando†kwa Kiswahili cha kukopa ..Au “ninja.â€
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Valentino ya Bongo: Mpenda tembo au mpenda tumbo?
10 years ago
Dewji Blog26 Nov
Rais Kikwete apokea salamu za kheri kutoka kwa Rais Obama
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo jijini Baltimore, Maryland, Marekani.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisoma salamu maalumu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani leo jijini Baltimore, Maryland, Marekani.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa...
9 years ago
Mwananchi22 Nov
KUTOKA LONDON: Fab Moses- Mtabiri wa London aliyetunga wimbo wa kushinda Magufuli
9 years ago
Mwananchi06 Sep
KUTOKA LONDON : Wakenya wakutana London kuitangaza nchi yao inayozidi kupendwa majuu
11 years ago
Michuzi11 Jul
11 years ago
MichuziWANDISHI KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA PORI LA AKIBA LA SELOUS
Kundi la wandshi wa habari tisa kutoka vyombo vya habari vya Serikali na binafsi nchini Afrika Kusini wametembelea Pori la Akiba la Selous na kufurahishwa na vivutio vllivyomo katika pori hilo wakiwemo wanyama kama Simba, tembo, twiga, na ndege wa aina mbali mbali.
Wandishi hao walivutiwa na kufurahia sana kuwaona hasa Simba na tembo kiasi cha miongoni mwao Kulikiri kuwa ni mara yao kwanza kuwaona wanyama hao kwa macho yao wakiwa katika maisha yao ya asili...
10 years ago
BBCSwahili25 Jul
Unamfahamu dadake rais Obama,Auma Obama?
11 years ago
Michuzi14 Feb
11 years ago
Michuzi14 Feb
DIRA YA DUNIA TV YAZUNGUMZA NA Mhe. RAIS JAKAYA KIKWETE KUHUSU WANYAMA PORI