Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANDISHI KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA PORI LA AKIBA LA SELOUS

Na Geofrey Tengeneza - Selous
Kundi la wandshi wa habari tisa kutoka vyombo vya habari vya Serikali na binafsi nchini Afrika Kusini wametembelea Pori la Akiba la Selous na kufurahishwa na vivutio vllivyomo katika pori hilo wakiwemo wanyama kama Simba, tembo, twiga, na ndege wa aina mbali mbali.
Wandishi hao walivutiwa na kufurahia sana kuwaona hasa Simba na tembo kiasi cha miongoni mwao Kulikiri kuwa ni mara yao kwanza kuwaona wanyama hao kwa macho yao wakiwa katika maisha yao ya asili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanyama watoweka pori la akiba la Selous

UJANGILI bado ni tishio kubwa kwa taifa hili, umesababisha baadhi ya wanyama waliokuwa wakipatikana karibu na maeneo ya pembezoni mwa barabara ya Kisaki kuelekea kwenye pori la akiba la Selous...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji wavamia Pori la Akiba la Selous

MOROGORO ni miongoni mwa mikoa iliyogubikwa na migogoro ya wakulima na wafugaji. Hali hiyo imesababisha mapigano ya mara kwa mara huku baadhi yao wakibaki na ulemavu na wengine kupoteza maisha....

 

11 years ago

KwanzaJamii

Kipi bora kati ya uranium au pori la akiba Selous

Kipi ni bora kati ya uranium au pori la Selous kwa uchumi endelevu? KIPI ni bora kuendelea kuwa na pori la akiba la Selous ambalo ni uchumi endelevu au kuwa na mgodi wa madini ya uranium ndani ya hifadhi ambao utaingiza mapato kwa muda mfupi na kusababisha athari za kimazingira ambazo ni endelevu. Kwa mujibu wa taarifa ya katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini ya Septemba 4,2013,Manufaa mbalimbali yanatarajiwa kupatikana kutokana na mradi wa uchimbaji wa Urani  mto Mkuju ndani ya pori la...

 

10 years ago

Michuzi

MAAFISA KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Na Veronica Simba – Dar es Salaam
Maafisa Wakuu 35 kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa cha Afrika Kusini (South African National Defence College – NDC), wametembelea Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Septemba 30, 2014 kwa lengo la kujifunza kuhusu Sera ya Tanzania kuhusu vyanzo vya nishati nchini hususan mafuta, gesi, makaa ya mawe na uvumbuzi wa madini mengine na changamoto zake.
Maafisa hao waliongozwa na Mkuu wa Chuo Brigedia Jenerali G.M. Yekelo pamoja na Maafisa kutoka...

 

10 years ago

Vijimambo

UJUMBE WA MAOFISA WA UMOJA WA BENKI ZA AKIBA DUNIANI KANDA YA AFRIKA WATEMBELEA ZANZIBAR

Meneja wa Tawi la Benki ya Posta Zanzibar Ndg Justin S.Nandonde akisalimiana na kumkaribisha wageni wake walipotembelea Tawi hilo Zanzibar kujionea utendaji wa Benki ya Posta Tawi la Zanzibar wakiwa katika ziara yao Zenj.MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndg. Sabasaba Moshingi, akitowa maelezo ya Ujumbe wa Maofisa wa Benki wa Umija wa Mabenki Duniani Kanda ya Afrika, walipotembelea Benki ya Posta tawi la Zanzibar.Wajumbe wa Mkutano wa Wanachama wa Umoja wa Mabenki Duniani na...

 

11 years ago

Habarileo

Ujangili wasababisha Pori la Selous kugawanywa kanda 8

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro NyalanduKATIKA kukabiliana na ujangili katika Pori la Akiba la Selous, Serikali imegawa pori hilo katika kanda nane ili zijitegemee.

 

11 years ago

Mwananchi

Bora kipi kwa uchumi, urani au pori la Selous

Kipi ni bora kuendelea kuwa na Pori la Akiba la Selous ambalo ni uchumi endelevu au kuwa na mgodi wa madini ya urani ndani ya hifadhi ambao utaingiza mapato kwa muda mfupi na kusababisha athari za kimazingira ambazo ni endelevu.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPELEKA WATAALAM KUWEKA MIPAKA YA KUWA NA PORI LA AKIBA ZIWA NATRON

SERIKALI imepeleka wataalam kwenda kuanza mchakato wa kuweka mipaka ya kuwa na Pori la Akiba (Game Reserve) la Bonde la Ziwa Natron na sehemu nyingine itakayokuwa na makazi ya watu (WMA).

Akizungumza kwa simu na mtandao huu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Profesa Adolf Mkenda, alisema serikali bado haijatangaza eneo hilo kuwa Pori la Akiba bali kinachoendelea kwa sasa ni kamati ya wataalamu kukutana na viongozi wa vijiji na watu wengine ili kukubaliana kwa pamoja.

Katibu Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani