Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujangili wasababisha Pori la Selous kugawanywa kanda 8

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro NyalanduKATIKA kukabiliana na ujangili katika Pori la Akiba la Selous, Serikali imegawa pori hilo katika kanda nane ili zijitegemee.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji wavamia Pori la Akiba la Selous

MOROGORO ni miongoni mwa mikoa iliyogubikwa na migogoro ya wakulima na wafugaji. Hali hiyo imesababisha mapigano ya mara kwa mara huku baadhi yao wakibaki na ulemavu na wengine kupoteza maisha....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanyama watoweka pori la akiba la Selous

UJANGILI bado ni tishio kubwa kwa taifa hili, umesababisha baadhi ya wanyama waliokuwa wakipatikana karibu na maeneo ya pembezoni mwa barabara ya Kisaki kuelekea kwenye pori la akiba la Selous...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Kipi bora kati ya uranium au pori la akiba Selous

Kipi ni bora kati ya uranium au pori la Selous kwa uchumi endelevu? KIPI ni bora kuendelea kuwa na pori la akiba la Selous ambalo ni uchumi endelevu au kuwa na mgodi wa madini ya uranium ndani ya hifadhi ambao utaingiza mapato kwa muda mfupi na kusababisha athari za kimazingira ambazo ni endelevu. Kwa mujibu wa taarifa ya katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini ya Septemba 4,2013,Manufaa mbalimbali yanatarajiwa kupatikana kutokana na mradi wa uchimbaji wa Urani  mto Mkuju ndani ya pori la...

 

11 years ago

Mwananchi

Bora kipi kwa uchumi, urani au pori la Selous

Kipi ni bora kuendelea kuwa na Pori la Akiba la Selous ambalo ni uchumi endelevu au kuwa na mgodi wa madini ya urani ndani ya hifadhi ambao utaingiza mapato kwa muda mfupi na kusababisha athari za kimazingira ambazo ni endelevu.

 

11 years ago

Michuzi

WANDISHI KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA PORI LA AKIBA LA SELOUS

Na Geofrey Tengeneza - Selous
Kundi la wandshi wa habari tisa kutoka vyombo vya habari vya Serikali na binafsi nchini Afrika Kusini wametembelea Pori la Akiba la Selous na kufurahishwa na vivutio vllivyomo katika pori hilo wakiwemo wanyama kama Simba, tembo, twiga, na ndege wa aina mbali mbali.
Wandishi hao walivutiwa na kufurahia sana kuwaona hasa Simba na tembo kiasi cha miongoni mwao Kulikiri kuwa ni mara yao kwanza kuwaona wanyama hao kwa macho yao wakiwa katika maisha yao ya asili...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Ujangili wapungua Selous’

KUTOKANA na jitihada kadhaa zilizofanywa na serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii juu ya mapambano dhidi ya ujangili, idadi ya Tembo katika mbuga ya Selous imeanza kuongezeka. Hiyo inatokana...

 

10 years ago

CloudsFM

MAREKANI NA UJERUMANI WATOA VIFAA VYA KISASA KUKABILIANA NA UJANGILI MBUGA YA SELOUS

Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri huyo alipofika katika mbuga hiyo, kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kupokeavifaa vya kukabiliana na ujangili vilivyotolewa na serikali za Marekani na Ujerumani kwa ajili ya Mbuga ya Selous.Maelezo kuhusu masalia hayo ya injini hiyo ya moshi iliyoachwa na wajerumani Benson Kibonge.Waziri Nyalandu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Marekani na Ujerumani waipa Tanzania vifaa vya kisasa kukabiliana na ujangili mbuga ya Selous

Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri huyo alipofika katika mbuga hiyo, kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kupokeavifaa vya kukabiliana na ujangili vilivyotolewa na serikali za Marekani na Ujerumani kwa ajili ya Mbuga ya Selous jana.

 

Maelezo kuhusu masalia hayo ya  injini hiyo ya moshi iliyoachwa na wajerumani Benson Kibonge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani