Marekani na Ujerumani waipa Tanzania vifaa vya kisasa kukabiliana na ujangili mbuga ya Selous
Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri huyo alipofika katika mbuga hiyo, kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kupokeavifaa vya kukabiliana na ujangili vilivyotolewa na serikali za Marekani na Ujerumani kwa ajili ya Mbuga ya Selous jana.

Maelezo kuhusu masalia hayo ya injini hiyo ya moshi iliyoachwa na wajerumani Benson Kibonge.

Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MAREKANI NA UJERUMANI WAIPA TANZANIA VIFAA VYA KISASA KUKABILIANA NA UJANGILI MBUGA YA SELOUS LEO
10 years ago
Vijimambo22 Jan
NYALANDU AZIDI KUFANYA MAKUBWA MALIASILI NA UTALII, MAREKANI NA UJERUMANI WAIPA TANZANIA VIFAA VYA KISASA KUKABILIANA NA UJANGILI MBUGA YA SELOUS LEO



10 years ago
CloudsFM22 Jan
MAREKANI NA UJERUMANI WATOA VIFAA VYA KISASA KUKABILIANA NA UJANGILI MBUGA YA SELOUS
Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri huyo alipofika katika mbuga hiyo, kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kupokeavifaa vya kukabiliana na ujangili vilivyotolewa na serikali za Marekani na Ujerumani kwa ajili ya Mbuga ya Selous.
Maelezo kuhusu masalia hayo ya injini hiyo ya moshi iliyoachwa na wajerumani Benson Kibonge.
Waziri Nyalandu...
5 years ago
MichuziMNEC GASPER KILEO AMWAGA VIFAA VYA KISASA KUKABILIANA NA CORONA SHINYANGA
11 years ago
Michuzi24 Sep
11 years ago
Michuzi
Ndovu Special Malt yakabidhi vifaa vitakavyosaidia kukabiliana na Ujangili katika Hifadhi za Wanyama nchini

5 years ago
Michuzi
Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yasaidia wanafunzi Ukerewe, yatoa msaada wa vitanda, magodoro na vifaa vya kukabiliana na majanga

10 years ago
Habarileo04 Jul
Kanda zaagizwa kutumia vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi
SERIKALI imeagiza kila kanda kuwa na vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi ambavyo vitawekwa katika halmashauri mbalimbali nchini, ili viweze kutumiwa na vijana wanaohitimu vyuo wenye taaluma ya masuala ya ardhi.
10 years ago
Mzalendo Zanzibar20 Sep
Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba
Na: Moh’d Said Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi […]
The post Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba appeared first on Mzalendo.net.