Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Valentino ya Bongo: Mpenda tembo au mpenda tumbo?

Mmmh! Aheri kuwa mzee kuliko kijana nawaambia. Yaani vijana wana matatizo yao hasa kwenye siku fulanifulani. Kwa mfano, enzi zangu huyu Valentino hakuonekana kabisa. Sisi tulimtafuta wa kupendana naye na Mungu alipotujalia, tukafika hadi kwenye ndoa na kuendelea kupendana siku hadi siku

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Daily News

Mpenda seeks to fill in PM shoes


Mpenda seeks to fill in PM shoes
Daily News
AN accountant with Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN), Mr Shafi Mpenda (36), picked a form seeking nomination to vie for the parliamentary seat for Mlele constituency in Katavi Region under the CCM ticket. TSN is the publisher of the 'Daily ...

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Rais Obama alivyokwenda vichakani na mwingereza mpenda pori maarufu

 Miezi michache iliyopita niliandika habari za Mwingereza maarufu Ewdard “Bear” Grylls. Jamaa huyu mwenye miaka 41 alikuwa askari wa kikosi maalumu, kinachofanya mashambulizi ya siri wakati mgumu, vitani. Sasa vikosi kama hivi (ambavyo huwa vya wapiganaji wachache tu) vinatumika kushambulia magaidi wa Uarabuni wanaokata kata vichwa na kuua wanawake, vilema, watoto na wazee. Neno jingine kuwaeleza laweza kuwa “komando” kwa Kiswahili cha kukopa ..Au “ninja.”

 

10 years ago

Michuzi

MDAU SHAFI KASSIM MPENDA AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KATAVI 2015

  Mdau Shafi Mpenda ambaye ni mfanyakazi ya uhasibu katika Shirika la Magazeti ya Serikali la Tanzania Standard Newspapers (TSN) Shafii Kassim Mpenda akichukua fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM wenzake  ya kugombea ubunge katika jimbo la Katavi mwaka huu  mwezi oktoba, 2015
Mdau Shafi Kassim Mpenda  Shafi Kassim  Mpenda akionesha  fomu yake ya  kuomba ridhaa ya wana CCM wenzake  ya kugombea ubunge katika jimbo la Katavi.

 

9 years ago

Michuzi

FAMILIA YA DK. MAGUFULI YASEMA WATANZANIA WAMEPATA KIONGOZI MCHAPA KAZI, MWENYE MSIMAMO NA MPENDA MAENDELEO

 Kiongozi wa familia hiyo, Albert Michael, alipozungumza na waandishi wa habari mjini Geita.
Na Rashid Zahor, Geita.FAMILIA ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli imesema Watanzania watakuwa na bahati ya kumpata kiongozi mchapakazi, mwenye msimamo na anayependa maendeleo.

Imesema iwapo Dk. Magufuli atachaguliwa kuwa rais, katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumapili wiki hii, atawaletea maendeleo makubwa kwa kuwa ni mtu mwenye msimamo, asiyeyumba na anayependa...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Salum Mpenda alamba nondozz yake katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza

 Mdau Salum Mpenda akiwa kapozz kwa picha mara baada ya kulamba Nondozz yake ya Mastars of International Law katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza. Mdau Salum Mpenda (kati) akiwa na Marcina Charles (shoto) na Mariam Ibrahim wakiwa ni wenye furaha tele kwa mufanikiwa kulamza nondozz zao za Mastars of International Law katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza.Furaha ya Nondozz: Mdau Salum Mpenda akiwa kwenye picha ya pamoja na Wazazi wake Dkt. Mpenda na Mama Pili Mpenda...

 

10 years ago

Michuzi

Redio Times, Valentino Hotel kudhamini mafunzo TASWA

Meneja Mkuu wa Royal Valentino Hotel iliyopo Kariakoo Dar es Salaam, Kapara Hamis (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusiana na semina ya waandishi chipukizi wa habari za michezo inayoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), itakayofanyika Jumatano ijayo. Kulia ni Mkurugenzi wa Redio Times FM, Rehure Nyaulawa ambaye redio yake pamoja na hoteli hiyo ndiyo wadhamini wa semina hiyo. Mwingine ni Makamu Mwenyekiti wa TASWA, Egbert Mkoko. (Na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU CHINI YA TUMBO

Tatizo la maumivu chini ya tumbo huwasumbua baadhi ya wanawake huku vyanzo halisi vya maumivu vikiwa vingi tu. Maumivu chini ya tumbo au chini ya kitovu huweza kusababishwa na mambo mbalimbali kama tutakavyoona. Maumivu huwapata wasichana ambao tayari wameshavunja ungo na wanawake watu wazima, ingawa hata wasichana wadogo ambao bado hawajavunja ungo husumbuliwa. CHANZO CHA TATIZO
Chanzo cha maumivu haya kinaweza kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani