Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAUMIVU CHINI YA TUMBO

Tatizo la maumivu chini ya tumbo huwasumbua baadhi ya wanawake huku vyanzo halisi vya maumivu vikiwa vingi tu. Maumivu chini ya tumbo au chini ya kitovu huweza kusababishwa na mambo mbalimbali kama tutakavyoona. Maumivu huwapata wasichana ambao tayari wameshavunja ungo na wanawake watu wazima, ingawa hata wasichana wadogo ambao bado hawajavunja ungo husumbuliwa. CHANZO CHA TATIZO
Chanzo cha maumivu haya kinaweza kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MAUMIVU MAKALI YA TUMBO (ACUTE ABDOMEN)-2

Wiki hii tunaendelea kuangalia magonjwa makali yanayosababisha maumivu makali ya tumbo; APPENDICITIS
Huu ni ugonjwa wa kidole tumbo unaoshambulia sehemu iitwayo ‘Vermiform Appendix’. Tatizo hili huambatana na maumivu ya tumbo yanayoanza taratibu upande wa kulia usawa wa kitovu na kushuka chini upande huohuo. Maumivu makali hutokana na kidole tumbo hicho kupasuka. Ni tatizo linaloweza kumpata mtu yeyote katika hali yoyote...

 

9 years ago

GPL

MAUMIVU MAKALI YA TUMBO (ACUTE ABDOMEN)

Maumivu ya tumbo huwatokea watu wote wanaume na wanawake wakubwa na wadogo. Maumivu huanza taratibu au ghafla na kwa kasi. Tatizo hili huwa kali hadi wakati mwingine kusababisha mgonjwa kufanyiwa upasuaji. Maumivu ya tumbo kwa ujumla wake yamegawanyika katika makundi manne; kwanza ni maumivu ya viungo vya ndani ya tumbo, maumivu yanayohusiana na mishipa ya fahamu, maumivu ya mbali katika mwili yanayosambaa na maumivu kuzunguka...

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE NA WANAUME

TATIZO hili huwakumba watu wengi kwenye jamii lakini kwa bahati mbaya wengi huchukulia ni jambo la kawaida kitu ambacho baadaye husababisha baadhi kuingia kwenye matatizo makubwa ya kiafya hasa kwenye mfumo wa uzazi na mfumo wa chakula. Maumivu chini ya kitovu hutokea kama ifuatavyo: Yapo yale ya chini ya kitovu katikati, kushoto na kulia. Kwa wanawake maumivu ya kushoto na kulia yapo ya aina mbili. Kuna yale ambayo yanakuwa...

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE NA WANAUME-3

WIKI iliyopita niliishia kwenye maelezo kuwa secondary dysmenorhea huwakumba akina mama ambao tayari wameshajifungua mtoto mmoja au zaidi lakini wanapatwa na maumivu makali wakati wa hedhi jambo ambalo hawakuwa nalo siku za nyuma. Wiki hii namalizia kwa kusema kuwa hali hii huchangiwa na mambo mengi ikiwemo tatizo la kuwa na uvimbe kwenye mji wa mimba unaoitwa mayoma au fibroid, kuvimba kwa mji wa mimba pamoja na mirija ya...

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU YA TUMBO YA MARA KWA MARA KWA WANAWAKE

Wanawake wanaosumbuliwa na maumivu ya tumbo chini ya kitovu mara kwa mara hupata athari nyingi baadaye endapo kama hawatagundua chanzo cha maumivu hayo. Katika tumbo la mwanamke kuna mfumo wa kawaida wa tumbo ambao ni tumbo la chakula na mfuko wa haja kubwa, kuna kibofu cha mkojo na mfumo wa mkojo.
Pia kuna mfumo wa uzazi ambao ndiyo tunaozungumzia leo kwa undani. Mfumo wa chakula una matatizo yake mengi ambayo huambatana na...

 

11 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego adai hafanyi show chini ya milioni 5 , ‘ni rasmi kabisa chini ya hapo sifanyi’

Hit maker wa Muziki Gani, Nay wa Mitego amefunguka kwa kudai kuwa amepandisha gharama za show zake mpaka milioni 5 kwa show za nje ya Dar Es Salaam. Nay wa Mitego akiwa nyumbani kwake na mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima Akizungumza na bongo5 leo, Nay , amesema imembidi apandishe gharama za show zake kutokana […]

 

9 years ago

Michuzi

NCCR-MAGEUZI KWAFUKUTA CHINI KWA CHINI

 NaChalila Kibuda,Globu ya Jamii CHAMA cha NCCR-MAGEUZI kimesema mkutano uliofanyika jana katika hoteli ya Land Mark  jijini Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho hawajajua lengo lake kutokana na kutokwepo kwa baraka ya vikao kwa mujibu wa chama hicho.
Akizungumza leo  na waandishi habari jana Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Chama hicho, Mohamed Tibanyendela amesema kuwa mkutano huo hujafanyika kwa kufuata taratibu hivyo wanaamini kuwa walikuwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel itaharibu njia za chini kwa chini

Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema kuwa Isareli haina budi ila kuharibu uwezo wa Hamas kivita

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani