MAUMIVU MAKALI YA TUMBO (ACUTE ABDOMEN)-2

Wiki hii tunaendelea kuangalia magonjwa makali yanayosababisha maumivu makali ya tumbo; APPENDICITIS Huu ni ugonjwa wa kidole tumbo unaoshambulia sehemu iitwayo ‘Vermiform Appendix’. Tatizo hili huambatana na maumivu ya tumbo yanayoanza taratibu upande wa kulia usawa wa kitovu na kushuka chini upande huohuo. Maumivu makali hutokana na kidole tumbo hicho kupasuka. Ni tatizo linaloweza kumpata mtu yeyote katika hali yoyote...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL
MAUMIVU MAKALI YA TUMBO (ACUTE ABDOMEN)
11 years ago
GPL
MAUMIVU CHINI YA TUMBO
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Namna ya kukabili maumivu makali ya uti wa mgongo
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Mwamaja: Naishi na maumivu makali kwa miaka 34
10 years ago
Vijimambo
Mwanamitindo Millen Magese Alazwa Tena Hospitalini, Atoa Ujumbe Mzito Akiwa Katika Maumivu Makali

11 years ago
GPL
MAUMIVU YA TUMBO YA MARA KWA MARA KWA WANAWAKE
11 years ago
TheCitizen17 Jul
Tanzania faces acute shortage of aviators
11 years ago
TheCitizen25 Mar
Region faces acute shortage of ARVs
11 years ago
Daily News05 May
Country faces acute shortage of Maths teachers
Daily News
Daily News
MATHEMATICS teachers whose number is rapidly shrinking have become the most sought after individuals in the country. The Permanent Secretary in the Ministry of Education, Prof Sifuni Mchome, revealed here that Tanzania needs over 13,480 basic ...