Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Imani ya freemason yaleta tafrani

IMANI potofu ya kuunganishwa na dini inayodaiwa kuabudu shetani (Freemason) nusura ivuruge kazi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) ya kuandikisha majina ya kaya masikini, Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAASKOFU, FREEMASON...

BAADHI ya viongozi wa dini nchini wamesema kwamba Watanzania wengi wamekuwa na imani na mambo ya kishirikina wakiamini kuwa wanaweza kubadili maisha kwa njia ya kuwa wanachama wa Imani ya Freemason badala ya kutumia akili huku wakiweka imani kwa Mungu. Akizugumza kupitia Radio Wapo FM, Rais wa WAPO Mission International, Askofu Sylvester Gamanywa amesema Januari 14, mwaka huu alitangaza Oparesheni Milikisha ambaypo watu wanaweza...

 

10 years ago

Bongo Movies

Madaha :Nawazimikia Freemason!!!

Mwanamuziki na mwigizaji wa filamu, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya aina yake baada ya kusema anavutiwa na taasisi huru ya imani ya Freemason kutokana na umakini mkubwa walionao kwenye kazi zao.

 Akipiga stori na paparazi wa GPL, Baby alisema watu wengi wamekuwa wakizungumza kwa mitazamo tofauti kuhusiana na Freemason lakini kiuhalisia, watu wa imani hiyo ni makini wanaojitambua na kujiheshimu.

“Hawa jamaa kiukweli siyo wa kuchezewa kabisa, lakini ukweli tu ni kwamba nawazimikia mno na...

 

10 years ago

GPL

MADAHA AVUTIWA NA FREEMASON

Stori: Mayasa Mariwata/Ijumaa Wikienda
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya aina yake baada ya kusema anavutiwa na taasisi huru ya imani ya Freemason kutokana na umakini mkubwa walionao kwenye kazi zao. Akipiga stori na paparazi wetu, Baby alisema watu wengi wamekuwa wakizungumza kwa mitazamo tofauti kuhusiana na Freemason lakini kiuhalisia, watu wa imani hiyo ni makini wanaojitambua na kujiheshimu....

 

10 years ago

TheCitizen

How I became a Freemason: The boss speaks out

>They have been the subject of all kinds of rumours. We have seen advertisements inviting people to join them if they want to get rich and powerful. Yet the Freemasons remain a mysterious society in the eyes of most Tanzanians. Now we can bring you the story of a prominent Tanzanian, who opened up on how he joined the world’s oldest fraternity.

 

11 years ago

GPL

DK. CHENI: FREEMASON WANANITESA

Stori: Brighton Masalu
MINONG’ONO na uvumi unaotambaa kwa kasi kuwa anajihusisha na taasisi ya wajenzi huru (Freemasons), unazidi kumtesa msanii wa filamu za Kibongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dk. Cheni’ kwa madai ya kwamba anajisikia vibaya anaponyoshewa vidole na baadhi ya wadau wa tasnia hiyo. Dk. Cheni. Mwishoni mwa wiki iliyopita, mwandishi wetu alisikia fununu kutoka kwa wadau wengi wa filamu wakiwemo...

 

10 years ago

GPL

KOVA AHUSISHWA NA FREEMASON

Stori: Makongoro Oging’ KIMENUKA! Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova, wiki iliyopita alifunguka kuwa, kuna watu wamekuwa wakimhusisha na imani ya Freemason.
Kamanda Kova aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya usalama wa mkoa wake kuelekea Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akizungumza na...

 

10 years ago

GPL

FREEMASON KUTOA RAISI 2015

Sir Andy Chande akiwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Na Mwandishi Wetu  WAKATI nchi ikielekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu, jamii ya siri ya Freemasons inayotimiza miaka 111, Oktoba mwaka huu tangu iingie Afrika Mashariki, inadaiwa kuwa na mgombea wa urais mwenye baraka zote kutoka kwao ambaye ndiye atakayeibuka mshindi wa kiti hicho. Sir Andy Chande akiwa na waziri mkuu mstahafu Fredrick Sumaye
Vyanzo vya habari...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiongozi wa Freemason aelezea alivyochumbia

Kifo cha baba yangu kiliniuma sana. Uhusiano wetu ulikuwa wa namna ambayo hata vijana wa siku hizi au jamii ya Lohana wasingeweza kuelewa. Upendo wangu kwa mama ulikiwa usio na masharti.

 

11 years ago

GPL

FREEMASON WATUA KANISA LA GWAJIMA

Stori: Waandishi Wetu
WATU wanaodaiwa kuwa ni wa imani ya Freemason wametua ndani ya ibada katika Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, Uwazi lina ‘ei tu zedi’ ya tukio hilo. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Freemason hao wawili waliingia kwenye ibada hiyo iliyofanyika Februari 23, mwaka huu ndani ya kanisa hilo lenye makao makuu yake katika Viwanja vya Tanganyika Peckers, Kawe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani