FREEMASON KUTOA RAISI 2015
![](http://api.ning.com:80/files/wTFR6FHHG9LKIf8uMYTmpyrMXmmLQph67XGtqLzuiCZs3a614km4KmVc7Cjq-rnfBUi8m7lfvEGcnKR1VVVMtvyEWi7bsFai/jakaya.jpg?width=650)
Sir Andy Chande akiwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Na Mwandishi Wetu  WAKATI nchi ikielekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu, jamii ya siri ya Freemasons inayotimiza miaka 111, Oktoba mwaka huu tangu iingie Afrika Mashariki, inadaiwa kuwa na mgombea wa urais mwenye baraka zote kutoka kwao ambaye ndiye atakayeibuka mshindi wa kiti hicho. Sir Andy Chande akiwa na waziri mkuu mstahafu Fredrick Sumaye Vyanzo vya habari...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboHOTUBA YA PONGEZI KWA MH.RAISI WA TANZANIA, RAISI WA ZANZIBAR NA VIONGOZI WOTE WALIOFANIKISHA KUPATIKANA KWA KATIBA INAYOPENDEKEZWA.
Ndugu viongozi wote wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi diaspora, wawakilishi wa serikali ya Tanzania ndani na nje ya nchi, taasisi za kitaifa na kimataifa, mashirika ya kijamii, mashirika binafsi, viongozi mbalimbali; itifaki imezingatiwa.
Awali ya yote napenda kumshukuru M/Mungu kwa kutupa uzima na afya njema kuweza kutekeleza majukumu yetu ya kila siku ikiwemo kusimamia sera na utendaji wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi huku diaspora. Pia napenda...
9 years ago
Michuzi05 Sep
KATIBU MKUU OFISI YA RAISI ZANZIBAR, MHE. SALUM MAULID AFUNGA MKUTANO WA TANZANIA DIASPORA BUSINESS CONVENTION 2015 NCHINI UINGEREZA
10 years ago
Habarileo14 Dec
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kutoa taswira ya ushindani 2015
UCHAGUZI wa serikali za mitaa unafanyika leo nchini kote ambapo chama tawala CCM, kinashindana na vyama vya upinzani katika kujenga nguvu kwa ajili ya kushinda uchaguzi mkuu ujao mwakani.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zCV6O6VKkHx5B9NhJKfqyM6kbVfnQ-SHim14m6pIgUHyvmJJe5HqKSF4co57fn6C-vb2yGWsnrouXlBYrxHDfk-ZylbkmnWi/wats.jpg?width=650)
10 years ago
GPLTANZANIA AWARDS INTERNATIONAL LTD KUTOA ‘TUZO YA JAMII’ APRILI 2015
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pg1AAUh2cSerLPiMAOrbIxeLt*YoMJ-Oo57wYaiiawYKfdl8u4oeHOdQ6I*uO2nOY9ocI4rWSk8Z0elhwHkYnj/mimi.jpg)
MAASKOFU, FREEMASON...
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Raisi wa Everton afariki dunia
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0bfNFAOzL1RAOZHc6PsjVZ0frCoB0BhGsqQyuj4zVmG4CG*bAQQDL9CKsa0TPYP8szVOXO9ZF3HkYRsSwxf3wAPyecVzZPdv/dkcheni.jpg?width=650)
DK. CHENI: FREEMASON WANANITESA
10 years ago
Bongo Movies02 Feb
Madaha :Nawazimikia Freemason!!!
Mwanamuziki na mwigizaji wa filamu, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya aina yake baada ya kusema anavutiwa na taasisi huru ya imani ya Freemason kutokana na umakini mkubwa walionao kwenye kazi zao.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Baby alisema watu wengi wamekuwa wakizungumza kwa mitazamo tofauti kuhusiana na Freemason lakini kiuhalisia, watu wa imani hiyo ni makini wanaojitambua na kujiheshimu.
“Hawa jamaa kiukweli siyo wa kuchezewa kabisa, lakini ukweli tu ni kwamba nawazimikia mno na...