Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke na Mume kizimbani kwa maneno hatarishi kuhusu Corona.

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV.

BONIPHACE  Mwita (49) na mke wake Rosemary Jenera 41  wakazi wa Tabata Kimanga, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Vicky Mwaikambo wakikabiliwa na shtaka la kutoa lugha hatarishi kwa lengo kupotosha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona.

Akisoma hati ya Mashtaka wakili wa serikali Mwandamizi Mkunde Mshanga akisaidiana na Wankyo Simon amedai kuwa Machi 20 mwaka huu, ndani jiji la Dar es Salaam washtakiwa hao wakiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM YAWASHIKILIA MUME,MKE KWA TUHUMA ZA KUENEZA TAARIFA ZA UONGO KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linawashikilia watu wawili ambao ni mume na mke kwa tuhuma na kueneza taarifa za uongo kwa wananchi kuhusu ugonjwa COVID-19(Corona) na kwamba watafikishwa mahakamani wakati wowote.

Akizungumza leo  Machi 27 mwaka 2020 ,Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema watu hao wamekamatwa Machi 20 mwaka huu saa saba mchana  wakiwa kwenye daladala aina ya Toyota DCM...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mume azungumzia machungu ya kumpoteza mke wake aliyekuwa mjamzito kwa virusi vya corona

Mume azungumzia machungu ya kumpoteza mke wake aliyekuwa mjamzito baada ya kuambukizwa virusi vya corona.

 

11 years ago

GPL

MUME WA FLORA MBASHA KIZIMBANI KWA KESI YA UBAKAJI

Emmanuel Mbasha (kulia) akiwa na mkewe Flora Mbasha. MUME wa mwimbaji Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka mawili ikiwemo ya ubakaji. Mshtakiwa huyo ambaye ni mfanyabiashara na mwimbaji alisomewa mashitaka yake mbele ya Hakimu Mkazi, Wilberforce Luago. Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga alidai kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo mawili...

 

10 years ago

Mwananchi

MUME KWA MKE TAJIRI

UME KWA MKE TAJIRI Mke akiwa tajiri, mwanamume maskini Hana uwezo fakiri, mke hatamthamini Natunga hili shairi, nisemayo naamini Mume kwa mke tajiri

 

11 years ago

Habarileo

Mume aua mke kwa kisu

WATU watano wamekufa mkoani Rukwa katika matukio tofauti, akiwemo Silvia Patrick aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa kisu kifuani kutokana na wivu wa mapenzi. Joseph Dominick (33) baada ya kumuua mkewe huyo mwenye miaka 26, alijaribu kujiua kwa kujichoma kisu tumboni, lakini hakufa na amelazwa katika Kituo cha Afya cha Kamasamba wilayani Momba mkoani Mbeya akiwa chini ya ulinzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mume aua mke kwa wivu wa mapenzi

NEEMA Sanga (33), mkazi wa Mngeta wilayani Kilombero mkoani hapa, ameuwawa nyumbani kwake kwa kucharangwa mapanga na anayedaiwa kuwa mumewe, Laurian Labani, kwa wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mke auawa kwa mapanga, mume akimbia

Mwanamke kazi wa Kijiji cha Mgunga, wilayani Igunga, Gama Jilala ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana.

 

11 years ago

Habarileo

Mke aua mume kwa kumvunja shingo

MWANAMKE Etina Silumba (44) mkazi wa kijiji cha Mpemba wilayani Momba anashikiliwa na polisi mkoani Mbeya, kwa tuhuma za kumuua mumewe.

 

10 years ago

Habarileo

Mke, mume kusota kwa kuozesha mtoto

MKE na Mume wanaotuhumiwa kumuoza binti wa miaka 10 jana walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma Mjini huku Mahakama ikifunga dhamana yao hadi kesi hiyo itakapomalizika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani