Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkeka wanukia barabara ya Mikocheni Tanesco mpaka Msasani

 Maandalizi ya kutandika Mkeka wa nguvu katika Barabara ya kutotea Tanesco Mikocheni A mpaka Msasani  kama inavyoonekana pichani.hii ni sehemu ya maendeleo yanayofanywa na Serikali yetu sikivu. Siku si nyingi mambo yatakuwa mswano na watu watakuwa wanaleza tu jamvini.Mmoja wa wataalam wa ujenzi wa barabara hiyo akiangalia kama mambo yako vyema.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKEKA WAENDELEA KUTANDAZWA BARABARA YA HEDARU MPAKA SAME MKOANI KILIMANJARO

 Maandalizi ya kutandaza mkeka wa uhakika katika Barabara ya kutokea Hedaru mpaka Same mkoani Kilimanjaro umekuwa ukienda vyema kadri siku zinavyokwenda na kuleta matumaini ya safari njema na ya uhakika kwa watumiani wa barabara hiyo, pichani ni moja ya gari likipita kwenye barabara ya muda wakati mkema wa ukweli ukiendelea kutandandazwa. Mafundi wa Ujenzi wa barabara hiyo wakiendela na kazi, ili kuhakikisha mkeka wa uhakika unapatikana haraka iwezekanavyo. Sehemu ya mchekupuko. Muonekano wa...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

MASHIMOZZZ BARABARA YA MIGOMBANI, MIKOCHENI "A" JIJINI DAR

 Mashimozz katika barabara hii ya Migombani, inayotokea DriveIn (makao makuu ya Zantel) kuelekea Victoria (Kariruki Hospitali) mpaka Makumbusho jijini Dar es salaam, yamekuwa ni kero kwa watumiaji wa njia hiyo, hasa kutokana na ukubwa wa mashimozz yaliyopo kwenye barabara hiyo. huo mpishano wa vyombo vya usafiri hapo pichani, si kwamba unatokana na mbwembwe za madereva, la hasha ni kutokana na namna ya kuyakwepa mashimozz hayo yaliyosheheni katika barabara hiyo. Hivi ndivyo hali ilivyo...

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA MSASANI WASAFISHA UFUKWE WA MSASANI

Baadhi ya wananchi wakifanya usafi katika fukwe ya Msasani.…

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Nassary ashiriki kazi za mikono na wananchi kwa Ujenzi wa barabara ya Sawmill- Ushili mpaka Sura,Arumeru Mashariki

 Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary (anaeonekana kunyanyua kitu) akishirikiana na baadhi ya Wananchi wa vijiji vya Ushili na Sura Arumeru Mashariki kuchimba sehemu inayotakiwa kupita barabara ya Sawmill- Ushili mpaka Sura.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary akiendelea na kazi hiyo kwa kushirikiana na Wananchi wake.Kazi ikiendelea.
Mapumziko kwa chakula cha mchana mara baada ya kuchapa kazi ya kutengeneza barabara.

 

10 years ago

GPL

MH. NASSARY ASHIRIKI KAZI ZA MIKONO NA WANANCHI KWA UJENZI WA BARABARA YA SAWMILL- USHILI MPAKA SURA, ARUMERU MASHARIKI

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary (anaeonekana kunyanyua kitu) akishirikiana na baadhi ya Wananchi wa vijiji vya Ushili na Sura Arumeru Mashariki kuchimba sehemu inayotakiwa kupita barabara ya Sawmill- Ushili mpaka Sura. Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary akiendelea na kazi hiyo kwa kushirikiana na Wananchi… ...

 

11 years ago

Michuzi

MEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA KUELEKEA MAZIZINI MPAKA MOSHI BAR

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa Jana amefanya ziara fundi ya ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya ukonga Moshibar kilometa 3 kiwango cha changalawe awamu yakwanza. Ikiwa ni utekelezaji wa miradi ya dharura kulingana na uharibifu wa miundo mbinuulitokea baada ya Mvua kubwa. Mradi huo ambao unaghalimu kiasi cha shilingi millioni 90.Pesa za Ujenzi huohizo zinatoka Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.Pia Barabara hiyo itawekwa Lami kwa awamu ya pili ndani ya mwaka huu kwa...

 

11 years ago

GPL

MEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA KUELEKEA MAZIZINI MPAKA MOSHI BAR‏

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa wa Kwanza kushoto akiwa na Mhandisi wa Barabara(mwenye shati Jeusi) pamoja na Diwani wa ukonga Elizabeth Mbano(katikati) na wa kwanza Kulia ni Mhandisi wa Manispaa Bwana Muhinda Kassimu wakitazama maendeleo ya ujenzi wa kipande cha barabara kutoka ukonga-mazizini mpaka moshi bar.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani