Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKEKA WAENDELEA KUTANDAZWA BARABARA YA HEDARU MPAKA SAME MKOANI KILIMANJARO

 Maandalizi ya kutandaza mkeka wa uhakika katika Barabara ya kutokea Hedaru mpaka Same mkoani Kilimanjaro umekuwa ukienda vyema kadri siku zinavyokwenda na kuleta matumaini ya safari njema na ya uhakika kwa watumiani wa barabara hiyo, pichani ni moja ya gari likipita kwenye barabara ya muda wakati mkema wa ukweli ukiendelea kutandandazwa. Mafundi wa Ujenzi wa barabara hiyo wakiendela na kazi, ili kuhakikisha mkeka wa uhakika unapatikana haraka iwezekanavyo. Sehemu ya mchekupuko. Muonekano wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mkeka wanukia barabara ya Mikocheni Tanesco mpaka Msasani

 Maandalizi ya kutandika Mkeka wa nguvu katika Barabara ya kutotea Tanesco Mikocheni A mpaka Msasani  kama inavyoonekana pichani.hii ni sehemu ya maendeleo yanayofanywa na Serikali yetu sikivu. Siku si nyingi mambo yatakuwa mswano na watu watakuwa wanaleza tu jamvini.Mmoja wa wataalam wa ujenzi wa barabara hiyo akiangalia kama mambo yako vyema.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MWANGA-KIKWENI-VUCHAMA/LOMWE KM 40.6 MKOANI KILIMANJARO

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ametangaza kutobomolewa nyumba zilizopo kando kando ya  barabara ya Mwanga-Kikweni/Vuchama-hadi Lomwe km 40.6 na kusema kuwa barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha lami kwa kutumia upana wake uliopo hivi sasa.Dkt. Magufuli alitoa kauli hiyo ya faraja kwa wakazi wa Kikweni Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro kabla ya kuweka jiwe la msingi katika barabara ya Mwanga-Kikweni/Vuchama-Usangi hadi Lomwe(km 40) itakayojengwa kwa kiwango cha lami hivi...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MAGARI YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUZUIA BARABARA

 Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita.  Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la hedaru  Maroli na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na mafuriko ya maji  Wakandarasi wakijadiliana jambo ili kuweza kupata ufumbuzi  Umati wa wasafiri wakiwa wanashangaa jinsi barabara ilivyozuiwa na maji Hii ndio hali halisi inavyoonekana malori yakiwa yamekwama katikati ya barabara Magari zaidi ya 300 yamekwama mda huu eneo la hedaru...

 

9 years ago

Michuzi

MBIO ZA KILIMANJARO HEALTH RUN 2015 ZAFANYIKA MKOANI KILIMANJARO.

Washiriki wa Mbio za Kilimanjaro Health Run KM 10 wakianza mbio hizo katika eneo la nje ya uwanja wa Majengo mjini Moshi.  Washiriki wa Mbio za Km 5 zilizowashirikisha zaidi watoto wanao lelewa katka ituo mbalimbali mjin Moshi. Mshindi wa mbio za KM 10 kwa wanaume, Lameck Msiwa akimaliza mbio katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

GPL

UJENZI WAENDELEA BARABARA YA UHURU

Fundi ujenzi akiweka tofali kwenye barabara hiyo, eneo la Kariakoo. Shughuli za ujenzi katika Barabara ya Uhuru inayotokea Buguruni hadi Mnazi mmoja umeonekana kuendelea kwa kasi baada ya kamera ya GPL kunasa mafundi wakiendelea na kazi hiyo eneo la Shule ya Uhuru Mchanganyiko na Kariakoo  jijini Dar. (HABARI/PICHA: DENIS…

 

11 years ago

Michuzi

WAKENYA WAENDELEA KUTESA KILIMANJARO MARATHON

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.   MWANARIADHA wa Kitanzania, Jackline Sakilu jana aliibuka shujaa katika mashindano ya mbio ndefu za kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2014, baada ya kuibuka mshindi katika mashindano ya kilomita 21, (nusu marathon), kwa upande wa wanawake.   Katika mbio hizo zilizofanyika mjini Moshi,Sakilu ambaye ni afisa wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) amefanikiwa kuvunja rekodi iliyowekwa na mshindi wa kwanza wa mwaka jana ,Sara Ramadhan ya...

 

11 years ago

GPL

MCHAKATO WA KUWAPATA WASHINDI KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 WAENDELEA

Kampuni ya TBL leo imekutana na wanahabari kuzungumzia mwenendo wa mchakato wa kuwapata washindi wa vipengele vya tuzo za Tanzania - Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA).
(VIDEO: PATRICK BUZOHERA / GLOBAL TV…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani