Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkurugenzi Duwasa afariki dunia

MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA), Dk Peter Mokiwa amefariki usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ambapo alilazwa kwa ajili ya matibabu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi Bunge afariki dunia

Mkurugenzi Msaidizi wa Shughuli za Bunge, Hellen Mbeba (36) amefariki dunia ghafla wakati akiwahishwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

 

10 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA AFARIKI DUNIA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu Dkt. Mohamed Mhita (pichani) aliyezaliwa tarehe 17 Februari 1946 na kufariki siku ya  Jumatatu tarehe 06 Aprili 2015 katika hospitali ya Agakhan  jijini Dar es Salaam.

Dkt. Mhita alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa iliyokuwa Idara Kuu ya Hali ya Hewa kwa kipindi cha miaka 8 kuanzia 1992 hadi 1999 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kwa kipindi cha...

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA: ALIYEKUWA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA AFARIKI DUNIA

Hayati Dkt. Mohamed Mhita
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (mstaafu) Dkt. Mohamed Mhita kilichotokea siku ya Jumatatu tarehe 06 Aprili 2015 katika hospitali ya Agakhan jijini Dar es Salaam.
Dkt. Mhita alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa iliyokuwa Idara Kuu ya Hali ya Hewa kwa kipindi cha miaka 8 kuanzia 1992 hadi 1999 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kwa kipindi cha miaka 9 kuanzia 1999...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi Msaidizi shughuli za Bunge, afariki dunia wakati akipelekwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma

1448618511-hellen (1)

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah, anasikitika kutangaza kifo cha mtumishi wa Bunge, Bi. Hellen Stephen Mbeba (36),  aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi – Shughuli za Bunge, (Pichani) kilichotokea ghafla mapema Ijumaa ya Novemba 27.2015, wakati akipelekwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa matibabu. Msiba upo nyumbani kwake eneo la Kisasa, Mjini Dodoma. Taarifa zaidi na taratibu nyingine ikiwa ni pamoja na ratiba kamili ya maziko zitaendelea kutolewa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia

>Mtume wa Kanisa la World Message Last Warning ambaye alitabiri kwamba mwaka 2000 utakuwa mwisho wa dunia, Wilson Bushara (53) amefariki dunia.

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Nchimbi aishukia Duwasa

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi, ametoa wiki moja kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Dodoma (Duwasa), kung’oa mara moja mifumo ya maji isiyotakiwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Dk. Mhita afariki dunia



NA MWANDISHI WETU ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA),Dk. Mohamed Mhita, amefariki dunia. Dk. Mhita ambaye pia ni mume wa Mbunge wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita, anatarajiwa kuzikwa leo baada ya kuwasili kwa mkewe, aliyeko India kwa matibabu. Akizungumza na waandishi wa habari, mtoto wa marehemu, Muhaji Mhita alisema baba yake aliugua maralia, Jumatatu alfajiri na kupelekwa hospitali, ambapo alifariki usiku. Alisema walipofika hospitali walibaini kuwa shinikizo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani