Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZIA: ALIYEKUWA MKURUGENZI MSAIDIZI WA SHUGHULI ZA BUNGE BI. HELLEN MBEBA AFARIKI DUNIA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi Msaidizi shughuli za Bunge, afariki dunia wakati akipelekwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma

1448618511-hellen (1)

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah, anasikitika kutangaza kifo cha mtumishi wa Bunge, Bi. Hellen Stephen Mbeba (36),  aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi – Shughuli za Bunge, (Pichani) kilichotokea ghafla mapema Ijumaa ya Novemba 27.2015, wakati akipelekwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa matibabu. Msiba upo nyumbani kwake eneo la Kisasa, Mjini Dodoma. Taarifa zaidi na taratibu nyingine ikiwa ni pamoja na ratiba kamili ya maziko zitaendelea kutolewa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na...

 

9 years ago

StarTV

Spika Ndungai aongoza mazishi ya Hellen Mbeba aliyekuwa mtumishi wa bunge

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Ndungai ameongoza waombolezaji katika mazishi ya aliyekuwa mtumishi wa Bunge Hellen Mbeba yaliyofanyika kwenye kijiji cha Kung’ombe wilayani Bunda mkoani Mara.

Spika Job Ndugai amesema kwamba bunge limepoteza mtumishi hodari ambae alikuwa ni mchapakazi, mpole, mnyenyekevu na mwenye kujituma kila alipokuwa anahitajika kufanya kazi ya kuwahudumia wananchi.

Mkuu wa Wilaya ya Bunda Joshua Mirumbe na mbunge wa jimbo la mwibara kangi...

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA: ALIYEKUWA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA AFARIKI DUNIA

Hayati Dkt. Mohamed Mhita
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (mstaafu) Dkt. Mohamed Mhita kilichotokea siku ya Jumatatu tarehe 06 Aprili 2015 katika hospitali ya Agakhan jijini Dar es Salaam.
Dkt. Mhita alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa iliyokuwa Idara Kuu ya Hali ya Hewa kwa kipindi cha miaka 8 kuanzia 1992 hadi 1999 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kwa kipindi cha miaka 9 kuanzia 1999...

 

10 years ago

CloudsFM

ALIYEKUWA KOCHA MSAIDIZI WA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA

Aliye kuwa kocha wa zamani wa timu ya Taifa Star Sylvester Marsh amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili ambapo alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Saratani ya koo kwa muda mrefu Sylvester enzi za uhai wake alishawahi kufanya kazi kakita timu tofauti tofauti ikiwemo timu ya Toto Africa Mwanza,Kagera Suger ,Azam FC ya Dar Es Salaam na Taifa Stars Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi Amen

 

10 years ago

Bongo Movies

TANZIA:Aliyekuwa mnenguaji wa muziki wa Bendi, Aisha Madinda Afariki Dunia Hii Leo

Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar

Aisha madinda ambae jina lake halisi ni Aisha Mbegu alizaliwa mwaka 1980 katika  Hospitali ya Ocean Road jijini Dar na alipata umaarufu mkuwa kwa uhodari wake wakucheza muziki alipokuwa kwenye  Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’.

Vile vile Aisha aliwahi kuingia kwenye tasinia hii ya filamu na kuweza kuigiza filamu akiwana watu...

 

10 years ago

Michuzi

tanzia: Issa Ahmed Othman aliyekuwa Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii afariki dunia

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa CCM na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa nyumbani alipozaliwa marehemu Issa Ahmed Othman Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii,aliyefariki nchini India alipoenda kwa matibabu.Katibu Mkuu alitoa salaam za pole kwa familia ya marehemu na ndugu zake kupokelewa na kaka wa marehemu Othman Ahmed Othman nyumbani kwao Shenge Juu, Pemba.

Na Abdulla Ali - Maelezo, Zanzibar                             
Aliyekuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA AFARIKI DUNIA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu Dkt. Mohamed Mhita (pichani) aliyezaliwa tarehe 17 Februari 1946 na kufariki siku ya  Jumatatu tarehe 06 Aprili 2015 katika hospitali ya Agakhan  jijini Dar es Salaam.

Dkt. Mhita alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa iliyokuwa Idara Kuu ya Hali ya Hewa kwa kipindi cha miaka 8 kuanzia 1992 hadi 1999 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kwa kipindi cha...

 

9 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi Bunge afariki dunia

Mkurugenzi Msaidizi wa Shughuli za Bunge, Hellen Mbeba (36) amefariki dunia ghafla wakati akiwahishwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

 

9 years ago

GPL

TANZIA: MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI DUNIA

Mwanasiasa mashuhuri nchini na Mwenyekiti wa Chama Cha DP Mch.Christopher Mtikila amefariki dunia na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Msolwa kilichopo Chalinze mkoani Pwani asubuhi ya leo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jafari Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema Mtikila amefariki majira ya saa 11:45 asubuhi ya leo katika kijiji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani