MKURUGENZI WA MAKAMPUNI YA APEX GROUP AOMBA WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU KATIKA UCHAGUZI MKUU UTAKAO FANYIKA KESHO KUTWA KOTE NCHINI
Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex Group na Mwanaharakati, Joseph Mhonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho nchini kote. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara Habari Maelezo, Vicent Tiganya (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex Group na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog24 Oct
Mkurugenzi wa Apex Group aomba wananchi kudumisha Amani na Utulivu katika Uchaguzi Mkuu utakao fanyika kesho nchini kote
Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex Group na Mwanaharakati, Joseph Mhonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho nchini kote. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara Habari Maelezo, Vicent Tiganya (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex...
9 years ago
VijimamboKAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR AWATAKA VIONGOZI WA SIASA NA WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA KAMPENI
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-HJtYdng5u7Y/Vem3S2a0nCI/AAAAAAAH2ZM/WaAVhuIsrz4/s72-c/unnamed%2B%252884%2529.jpg)
DUA YA KUIOMBEA NCHI AMANI NA UTULIVU KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO YAFANYIKA ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-HJtYdng5u7Y/Vem3S2a0nCI/AAAAAAAH2ZM/WaAVhuIsrz4/s640/unnamed%2B%252884%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-d1yq_w78Gww/Vem3SvLmVUI/AAAAAAAH2ZQ/T9mAWtwmVaI/s640/unnamed%2B%252886%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ssA57bshTrE/Vem3Svfk4AI/AAAAAAAH2ZI/VqACyhEsMoQ/s640/unnamed%2B%252885%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jFRe4B6dsOI/VSJKK5euttI/AAAAAAAC20M/odrRLRYJQCs/s72-c/11.jpg)
WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE NA SERIKALI KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI KUDUMISHA AMANI,UTULIVU NA UADILIFU NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-jFRe4B6dsOI/VSJKK5euttI/AAAAAAAC20M/odrRLRYJQCs/s1600/11.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZqvScX6t4i4/VSJLh_gkyuI/AAAAAAAC27I/QXXUNvOPhYE/s1600/6.jpg)
9 years ago
VijimamboMKUU WA MKOA WA DODOMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSISITIZA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Sep
Dua ya kuiombea Zanzibar amani na utulivu katika kipindi cha uchaguzi
Na: Hassan Hamad, OMKR Waislamu mbali mbali wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo wamekusanyika katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar kwa ajili ya kuomba dua ya kuiombea […]
The post Dua ya kuiombea Zanzibar amani na utulivu katika kipindi cha uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI NA KUWAPONGEZA KWA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU KWA AMANI NA UTULIVU
9 years ago
MichuziWADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...
9 years ago
MichuziKUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI
Mhonda amesema wananchi wahakikishe amani inakuwepo na hata wageni wanaoishi hapa kutokana na historia ya miaka ya nyuma ya hapa nchini kuwa ya amani.
Aidha amewataka watanzania wasikubali baadhi ya watu wachache kuja kuchochea utovu wa...