Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA HADHARA WA CCM MAKOONGENI KASKAZINI PEMBA2

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kakskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa wakati alipowasili katika kijiji cha Mkoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika leo jimbo la Mtambwe. Baadhi ya wajumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM NEC na Viongozi wengine wakiwa katika Mkutano wa Hadhara wa kampeni za Uchaguzi uliofanyika leo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope. Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope. Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope.(Picha na Salmin Said, OMKR)
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

 

9 years ago

CCM Blog

MKUTANO WA HADHARA WA UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM PEMBA

Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maelfu ya wanachama cha Mapinduzi CCM  na wananchi wa Kisiwani Pemba wakati alipokuwa akiomba kura pamoja na kuwaombea wagombea wengine wa CCM akiwemo Mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano Dkt.John Pombe Magufuli katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho uliofanyika leo katika uwanja wa Gombani yakale,[Picha na Ikulu.] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA HADHARA WA KAMPENI ZA CCM KIWANI PEMBA LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zinazoendelea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendelea kuzungumza wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA HADHARA WA CCM WAFUNIKA KIBANDA MAITI MJINI UNGUJA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd akiwasalimia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM AWASILI KISIWANI PEMBA MCHANA HUU,KUFANYA MKUTANO WA HADHARA GOMBANI YA KALE JIONI YA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana (kushoto) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar,Ndg. Vuai Ali Vuai wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba,Mchana wa leo tayari kwa Mkutano wa Hadhara wa CCM kwa Mikoa ya Miwili ya Pemba.wengine pichani ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba, Ndg. Mzee Mbelwa (kulia) akifatiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba,Abdallah Mshindo.  Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Zanzibar,Ndg. Vuai Ali Vuai (katikati) akifurahia...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUFANYA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA WILAYANI NZEGA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimpongeza Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM,Taifa,Ndugu Hussein Bashe mara baada ya kukabidhi piki piki kwa viongozi wa kata na UWT wilaya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimpongeza Mbunge wa Nzega,Mh.Hamisi Kingwangalla mara baada ya kukabidhi mashine ya kutotolea vifaranga kwa kikundi cha vijana. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahubia baadhi ya Wananchana na wafuasi wa chama cha CCM,katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika Nzega mjini...

 

10 years ago

Michuzi

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MJINI KIGOMA



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 21,2020Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani