Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mkutano wa hadhara


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MH. MBOWE AFANYA MKUTANO WA HADHARA WILAYA YA UKEREWE

  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika  kwenye Uwanja wa Mongella mjini Nansio wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.Mbowe akisalimiana na mlemavu wa viungo alipowasili kwa chopa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mongella mjini Nansio Ukerewe mkoani Mwanza juzi.

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MJINI KIGOMA



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 21,2020Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari...

 

11 years ago

Michuzi

Mwigulu Nchemba ahutubia mkutano wa hadhara mwanza

 Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba akiwapungia wananchi alipokuwa akiingia kuhutubia katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza leo. ambapo alizungumzia utata kuhusu Umoja wa Katiba ya Wananchi na kufutwa kwa baadhi ya misamaha ya kodiNaibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba akihutubia katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza leo. ambapo alizungumzia utata...

 

11 years ago

Dewji Blog

MNEC Magesa ahutubia mkutano wa hadhara Kigamboni

Pic 1

Magesa akisindikizwa na wanachama na wapenzi wa CCM wakati anawasili katika viwanja Kigamboni kuhutubia mkutano wa hadhara.

Pic 2

Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndg. Phares Magesa akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Tua Moyo Kigamboni.

Chama cha Mapinduzi CCM jana tarehe 21/4/2013 kilifanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya tuo moyo Kigamboni, mgeni rasmi katika mkutano huo alikuwa ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndg. Phares Magesa

Mkutano huo...

 

9 years ago

CCM Blog

MKUTANO WA HADHARA WA UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM PEMBA

Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maelfu ya wanachama cha Mapinduzi CCM  na wananchi wa Kisiwani Pemba wakati alipokuwa akiomba kura pamoja na kuwaombea wagombea wengine wa CCM akiwemo Mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano Dkt.John Pombe Magufuli katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho uliofanyika leo katika uwanja wa Gombani yakale,[Picha na Ikulu.] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA HADHARA WA CCM MAKOONGENI KASKAZINI PEMBA2

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kakskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa wakati alipowasili katika kijiji cha Mkoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika leo jimbo la Mtambwe. Baadhi ya wajumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM NEC na Viongozi wengine wakiwa katika Mkutano wa Hadhara wa kampeni za Uchaguzi uliofanyika leo...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA HADHARA WA KAMPENI ZA CCM KIWANI PEMBA LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zinazoendelea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendelea kuzungumza wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA JITEGEMEE MUHEZA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Jitegemee Muheza, Machi 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Jitegemee, Muheza Machi 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA ACT CHAFAYA MKUTANO WA HADHARA NJOMBE NA MAKAMBAKO

 Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini. Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Samson Mwigamba akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini. Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani