Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwigulu Nchemba ahutubia mkutano wa hadhara mwanza

 Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba akiwapungia wananchi alipokuwa akiingia kuhutubia katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza leo. ambapo alizungumzia utata kuhusu Umoja wa Katiba ya Wananchi na kufutwa kwa baadhi ya misamaha ya kodiNaibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba akihutubia katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza leo. ambapo alizungumzia utata...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MJINI KIGOMA



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 21,2020Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari...

 

11 years ago

Dewji Blog

MNEC Magesa ahutubia mkutano wa hadhara Kigamboni

Pic 1

Magesa akisindikizwa na wanachama na wapenzi wa CCM wakati anawasili katika viwanja Kigamboni kuhutubia mkutano wa hadhara.

Pic 2

Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndg. Phares Magesa akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Tua Moyo Kigamboni.

Chama cha Mapinduzi CCM jana tarehe 21/4/2013 kilifanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya tuo moyo Kigamboni, mgeni rasmi katika mkutano huo alikuwa ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndg. Phares Magesa

Mkutano huo...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA JITEGEMEE MUHEZA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Jitegemee Muheza, Machi 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Jitegemee, Muheza Machi 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope. Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope. Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope.(Picha na Salmin Said, OMKR)
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA KIBANDAMAITI, ZANZIBAR

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipokelewa katika uwanja wa ndege wa Zanzibar, baada ya kuwasili akitokea Dar es Salaam ambako aliteuliwa Rasmi kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF mwaka 2015.
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi na wapenzi wa chama hicho katika viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba akiwahutubia wafuasi na wapenzi wa Chama hicho katika viwanja vya Kibandamaiti...

 

11 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA AHUTUBIA BUNGE LA ACP NA EU,APINGA NDOA YA JINSIA MOJA,AZUNGUMZIA UCHUMI BARANI AFRIKA

Naibu Waziri wa Fedha  mhe Mwigulu Nchemba amehutubia kikao cha pamoja cha bunge la ACP na EU katika mji wa Strasbourg nchini Ufaransa.
Katika hotuba yake, mhe Mwigulu alianza kwa kukishukuru chombo hicho kwa ajili ya msimamo wake usioyumba kwenye maswala ya amani akitolea mfano wa kazi nzuri waliofanya kwenye swala la Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudani  Kusini. Mhe Mwigulu aliitaka Jumuiya ya Kimataifa imsaidie Rais wa muda Mama Carthrine Samba Panza ili kuwezesha kipindi cha mpito...

 

10 years ago

Michuzi

Mheshimiwa Dkt Augustine Lyatonga Mrema ahutubia mkutano wa hadhara jimboni kwake vunjo

 Mbunge wa jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro na Mwenyekiti wa chama cha TLP, Dkt. Augustine Lyatonga Mrema akihutubia katika mkutano wa hadhara jimboni kwake  jana kwa ajili ya kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa na pia kuelezea utekelezaji wa miradi ya Maendeleo.

Katika jimbo hilo la Vunjo kumekuwepo na Mvutano mkubwa wa kuliwania katika uchaguzi mkuu wamakani ambapo kwa vyama vya CCM tayari kijana Innocent Shirima ameshatangaza nia kama alivyofanya  Mh. James Mbatia wa ...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA MWIGULU NCHEMBA LIVE STAR TV HII LEO TAR.06.12.2014

Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara,Comrade Mwigulu Nchemba.Hii leo ataunguruma Geita Mjini katika Mkutano wa hadhara atakapo zungumza na Watanzania moja kwa moja Kupitia Star Tv Majira ya Saa 9:00 Alasiri hii leo.
Watanzania wote karibuni mfatilie Matangazo haya ya Moja kwa Moja.

 

10 years ago

Vijimambo

JIONI YA LEO MWANZA,MWIGULU AFUNIKA MKUTANO KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA


Mapokezi ya Mwigulu Mwanza jioni ya
leo tar 12.12.2014 Viwanja vya shule ya Msingi Mabatini.Mwigulu Nchemba akiwasili Viwanja vya Mabatini akiwa amongozana na Mwenyekiti wa Geita Ndugu Joseph Msukuma.Wananchi wakifurahia Ujio wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Comrade Mwigulu Nchemba.Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Mabatini Mwanza hii leo.Naibu katibu Mkuu CCM Bara akionekana kukasilika na Kitendo cha Machinga na Mamantile kunyanyaswa Jijini Mwanza,Hivi sasa ameomba Halmashauri ya ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani