MWIGULU NCHEMBA AHUTUBIA BUNGE LA ACP NA EU,APINGA NDOA YA JINSIA MOJA,AZUNGUMZIA UCHUMI BARANI AFRIKA
Naibu Waziri wa Fedha mhe Mwigulu Nchemba amehutubia kikao cha pamoja cha bunge la ACP na EU katika mji wa Strasbourg nchini Ufaransa.
Katika hotuba yake, mhe Mwigulu alianza kwa kukishukuru chombo hicho kwa ajili ya msimamo wake usioyumba kwenye maswala ya amani akitolea mfano wa kazi nzuri waliofanya kwenye swala la Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudani Kusini. Mhe Mwigulu aliitaka Jumuiya ya Kimataifa imsaidie Rais wa muda Mama Carthrine Samba Panza ili kuwezesha kipindi cha mpito...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi26 Jul
Mwigulu Nchemba ahutubia mkutano wa hadhara mwanza
10 years ago
Vijimambo18 Jan
TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA ATIKISA MKOA WA MOROGORO WOTE KWA SIKU MOJA
![](https://scontent-a-cdg.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/v/t1.0-9/10343652_852402731488466_2053699398230832802_n.jpg?oh=10ba970fd714f8ed65ed1d7d59826238&oe=55275E7B)
![](https://scontent-b-cdg.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/l/t1.0-9/10933910_852403461488393_8420251617100430927_n.jpg?oh=e0dc63b9e4def5a0cb17896cb5147058&oe=55635DCD)
![](https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfp1/v/t1.0-9/10943721_852402551488484_7052952236107455201_n.jpg?oh=fa710dc77ddbb19d56fcdf46a37038b0&oe=5526B1C1&__gda__=1432953160_896f107a136ab066be82c9ca621b9b0c)
10 years ago
BBCSwahili23 May
Ndoa za jinsia moja zaungwa mkono
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Kanisa laidhinisha ndoa za jinsia moja
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Ndoa za jinsia moja zafanyika Uskochi
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Sheria ya ndoa za jinsia moja yaanzishwa
11 years ago
BBCSwahili15 Feb
Ndoa za jinsia moja zapingwa Uingereza
10 years ago
BBCSwahili23 May
Wanaopinga ndoa za jinsia moja wasalimu