Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndoa za jinsia moja zapingwa Uingereza

Maaskofu katika kanisa moja nchini Uingereza wawaambia viongozi wa dini kwamba hawataruhusiwa kuingia katika ndoa za jinsia moja

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ndoa za jinsia moja zafanyika Uskochi

Harusi ya kwanza ya watu wa jinsia moja imefanyika huko Uskochi .

 

10 years ago

BBCSwahili

Sheria ya ndoa za jinsia moja yaanzishwa

Kinara mkuu wa chama cha upinzani cha Labour nchini Australia, ameanzisha sheria inayokubalia ndoa ya wapenzi wa jinsia moja,

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanisa laidhinisha ndoa za jinsia moja

Kanisa la Presbyterian nchini Marekani ,limebadilisha sheria yake ya ndoa na kuwajumuisha watu wa jinsia moja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndoa za jinsia moja zaungwa mkono

Ishara za mapema nchini Ireland zinaonyesha kuwa wanaounga mkono ndoa hizo wanaelekea kupata ushindi mkubwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaopinga ndoa za jinsia moja wasalimu

Kiongozi anayeongoza kampeni za kupinga ndoa za jinsia moja nchini Ireland amekubali kushindwa,huku kura zikiendelea kuhesabiwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Ireland yahalalisha ndoa za jinsia moja

Waziri mkuu nchini Ireland amesema Ireland imetoa ujumbe mkubwa baada ya kupiga kura kwa wingi kuhalalisha ndoa za jinsia moja.

 

10 years ago

GPL

KANISA: NDOA YA JINSIA MOJA RUKSA

Wapenzi wa jinsia moja. KANISA la Presbyterian nchini Marekani ambalo lina wanachama milioni mbili, limebadilisha sheria yake ya ndoa na kuwajumuisha watu wa jinsia moja. Kanisa hilo ambalo linashirikisha idadi kubwa ya wanachama wake duniani lilitoa tangazo hilo baada ya idadi kubwa ya magavana wa majimbo yake 171 kuidhinisha mabadiliko hayo. Sheria yake mpya sasa itasoma kwamba ndoa ni makubaliano ya kipekee kati ya watu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kesi ya ndoa za jinsia moja kusikizwa US

Mahakama kuu nchini Marekani hii leo itasikiliza kesi kuamua ikiwa wapenzi wa jinsia moja wana haki ya kufunga ndoa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani