Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA KUMI NA TISA - KIKAO CHA 27 : TAREHE 12 MAY, 2020

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JK AONGOZA KIKAO CHA TISA CHA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), Bw.  Frank Kanyusi akitoa maelezo kuhusu wavuti mpya ya wakala huo ambayo kuanzia sasa mteja atakuwa anajisajili yeye mwenyewe kupitia huduma hiyo ya mtandaoni  Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aongoza kikao cha tisa cha Baraza la Taifa la Biashara Ikulu jijini Dar

 tnbc1 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015   Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), Bw.  Frank Kanyusi akitoa...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA TISA CHA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015  Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015.
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), Bw.  Frank Kanyusi akitoa maelezo kuhusu...

 

5 years ago

Michuzi

MKUTANO MAALUM WA 41 WA BARAZA LA MAWAZIRI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI TAREHE 4 – 5 JUNI, 2020





Mkutano Maalum wa 41 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki utafanyika tarehe 4 na 5 Juni 2020 kwa njia ya mtandao (Video Conference). Mkutano utafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara uliopo Mji wa Serikali, Mtumba – Dodoma.

Mkutano huo Maalum wa 41 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki, utaanza kwa mkutano wa ngazi ya wataalam tarehe 4 Juni, 2020 na kufuatiwa na mkutano wa ngazi ya Makatibu Wakuu tarehe 5 Juni 2020 na kisha kufuatiwa na mkutano wa Baraza...

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA KIKOSI KAZI CHA "AMCOMET" TECHNICAL TASK FORCE ON AFRICAN REGIONAL SPACE PROGRAMME ON METEOROLOGY” KILICHOFANYIKA GENEVA, USWISI, TAREHE 10 JUNI 2015

Dkt. Agnes Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (akiwakilisha Tanzania) katika picha ya pamoja na washiriki wa kikosi kazi cha “African Ministerial Conference on Meteorology (AMCOMET) Technical Task Force on African Regional Space Programme on Meteorology” Geneva, Uswisi tarehe 10 juni 2015.

Tanzania ambayo ni mwenyekiti wa kikosi kazi cha “African Ministerial Conference on Meteorology (AMCOMET) Technical Task Force on African Regional Space Programme on Meteorology”...

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: TAARIFA MUHIMU KUHUSU KUENDELEA KWA KIKAO CHA BUNGE MAALUM KESHO TAREHE 18 MACHI, 2014

Baada ya kutokea vurugugu zilizosababishwa na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum kupelekea Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Jaji Joseph Warioba  (pichani juu, akiongozwa kutoka Bungeni baada ya zoezi la kuwasilisha rasimu ya katiba kuahirishwa) kutokuwasilisha rasimu ya pili ya Katiba kwa wajumbe hao, Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta aliitisha kikao cha maridhiano na baadhi ya wajumbe wanaowakilisha makundi mbalimbali yaliyopo katika Bunge hilo ili kupata muafaka wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KIKOSI KAZI CHA “AFRICAN MINISTERIAL CONFERENCE ON METEOROLOGY (AMCOMET) TECHNICAL TASK FORCE ON AFRICAN REGIONAL SPACE PROGRAMME ON METEOROLOGY” KILICHOFANYIKA GENEVA, USWISI, TAREHE 10 JUNI 2015

Dkt. Agnes Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (akiwakilisha Tanzania) katika picha ya pamoja na washiriki wa kikosi kazi cha “African Ministerial Conference on Meteorology (AMCOMET) Technical Task Force on African Regional Space Programme on Meteorology” Geneva, Uswisi tarehe 10 juni 2015.Dkt. Agnes Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ambaye pia ni mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) na mwenyekiti wa mkutano...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ratiba Bunge la Kumi, Mkutano wa Kumi na Tano

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifunga Bunge  leo twasira ya muono wa Mandhari ilivyokuwa.

Ratiba Ya Mkutano Wa 15 Wa Bunge New by moblog

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani