Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA MABALOZI WILAYA MJINI UNGUJA.

Baadhi ya Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Mikoa ya UngujaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein afungua Mkutano wa Mabalozi wa Nyumba kumi Wilaya ya Mjini Unguja

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja kuzungumza na Mabalozi wa Wilaya ya Mjini CCM katika kuimarisha Chama alipoanza ziara maalum kwa mikoa mitano ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA CCM WA MABALOZI WILAYA YA AMANI MKOA WA MJINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Taarifa ya Chama Wilaya Amani kutoka kwa Katibu Abdalla Mwinyi katika mkutano wa Mabalozi wa Mkoa wa Mjini Unguja akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mikoa ya Unguja. Mwenyekiti wa CCM MKoa wa Mjini Mhe,Borafya Silima Juma akiwapa nasaha Mabalozi wa CCM Mkoa wa Mjini katika wilaya ya Amani wakati mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi...

 

11 years ago

Michuzi

MHE HASSAN MAMBA BANTU KATIBU WA UCHUMI WA WILAYA MOROGORO MJINI NA MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA AKUTANA NA MABALOZI WA JUMUIYA YA ULAYA

Kutoka kulia  ni Mhe HASSAN Mamba Bantu Katibu wa Uchumi  wa CCM wa Wilaya ya Morogoro Mjini akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Jumuiya ya Ulaya wa Guyana, Tanzania na Afrika ya Kusini. Mhe Bantu yuko Ubelgiji kwenye ziara ya mafunzo.

 

10 years ago

Michuzi

DK SHEIN AHUDHURIA MKUTANO WA MABALOZI MKOA WA MAGHARIBI UNGUJA

  Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa Amani alipohudhuria katika mkutano wa Mabalozi wa Mkoa wa Magharibi Unguja akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mikoa ya Unguja Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Mabalozi waliofika...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA,AKUTANA NA MABALOZI WILAYA KATI,UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Ngazi mbali mbali za Chama cha Mapinduzi alipofika katika viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja alipofika kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Mkutano maalum wa mwendelezo wa ziara zake za kumarisha Chama.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mkoa wa Mjini Bi Waridi Juma akisoma risala ya Wanawake wa Mkoa wa Mjini wakati wa mkutano na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar.Viongozi wa UWT Mkoa wa Mjini Unguja wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakati wa mkutano wake na Viongozi hao uliofanyika Afisi ya CCM Mkoa Amani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA CCM KIBANDAMAITI MJINI UNGUJA LEO

Umati mkubwa wa wananchi waliofurika katika uwanja wa Demokrasia kibandamaiti mjini unguja wakiwa katika mkutano wa hadhara wa CCM uliohutubiwa na Makamo Mwenyekitiwa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali mohamed Shein[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA HADHARA WA CCM WAFUNIKA KIBANDA MAITI MJINI UNGUJA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd akiwasalimia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAWEKEZAJI WA SEKTA YA UTALII ZANZIBAR (ZATI) WAFANYIKA MJINI UNGUJA

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma (Mabodi) akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI) katika Hoteli ya Double Tree by Hilton Shangani Mjini Zanzibar.Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI) Bi. Pamela Mattheuu (aliesimama) akielezea hali ya Utalii ilivyo kwa sasa na kupanga mikakati ya kuitangaza zaidi sekta hiyo, huko Hoteli ya Double Tree by Hilton Shangani Mjini Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani