MKUU WA MABALOZI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA AFRICAN UNION, WASHINGTON, DC
![](http://2.bp.blogspot.com/-Gkz5WeUMQMA/Uv6eNCmiQXI/AAAAAAACafo/DaIZ4pe4GV8/s72-c/20140211_151751.jpg)
Balozi wa kudumu wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mabalozi wote wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani Mhe. Roble Olhaye alipotembelea ofisi za Ubalozi wa AU zilizopo Georgetown, Washington, DC leo Ijumaa Feb 14, 2014.
Mkuu wa Mabalozi (Dean) nchiniMarekani Mhe. Roble Olhaye akitia saini kitabu cha wageni na baadae kufanya mazungumuzo na Balozi wa kudumu wa AU nchiniMarekani, Mhe. Amina Salum Ali leo Ijumaa Feb 14, 2014 alipotembelea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-Gkz5WeUMQMA/Uv6eNCmiQXI/AAAAAAACafo/DaIZ4pe4GV8/s1600/20140211_151751.jpg)
MKUU WA MABALOZI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA AFRICAN UNION, WASHINGTON DC
10 years ago
VijimamboBALOZI MPYA WA MALAWI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
10 years ago
VijimamboBalozi mpya wa Senegal nchini Marekani atembelea ubalozi wa Tanzania Washington,DC leo Jumanne tarehe 10/02/2015.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4c1RVjJOhXk/U9LArjucekI/AAAAAAAF6a8/VK5J62s7dQk/s72-c/313fa6f37f3637e4fbbb14a3503cd569.jpg)
Mhe Makalla atembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC marekani leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-4c1RVjJOhXk/U9LArjucekI/AAAAAAAF6a8/VK5J62s7dQk/s1600/313fa6f37f3637e4fbbb14a3503cd569.jpg)
11 years ago
GPLMARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
11 years ago
MichuziMARK CHILDRESS, BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
11 years ago
MichuziHARVARD CLUB OF WASHINGTON WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboMHE PETER ILOMO KATIBU MKUU OFISI YA RAIS ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
10 years ago
Dewji Blog26 Feb
Mawaziri wa nchi tano Afrika Mashariki wakutana ubalozi wa Tanzania Washington, DC nchini Marekani
Na Mwandishi Wetu
Mkutano uliowakutanisha Mawaziri wa nchi tano za Afrika Mashariki wakiwemo Mabalozi wa nchini zao nchini Marekani ulifanyika leo siku ya Jumatano Februari 25, 2015 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, mkutano huo uliohusiana na maandalizi ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya nchi ya Marekani na nchi za Afrika Mashariki ambazo ni Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Tanzania.
Mkutano huo uliongozwa na mwenyekiti wake Mhe....