Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MABALOZI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA AFRICAN UNION, WASHINGTON DC‏


Balozi wa kudumu wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mabalozi wote wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani Mhe. Roble Olhaye alipotembelea ofisi za Ubalozi wa AU zilizopo Georgetown, Washington, DC leo Ijumaa Feb 14, 2014.
Mkuu wa Mabalozi (Dean) nchiniMarekani Mhe. Roble Olhaye akitia saini kitabu cha wageni na baadae kufanya mazungumuzo na Balozi wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MABALOZI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA AFRICAN UNION, WASHINGTON, DC

Balozi wa kudumu wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mabalozi wote wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani Mhe. Roble Olhaye alipotembelea ofisi za Ubalozi wa AU zilizopo Georgetown, Washington, DC leo Ijumaa Feb 14, 2014. Mkuu wa Mabalozi (Dean) nchiniMarekani Mhe. Roble Olhaye akitia saini kitabu cha wageni na baadae kufanya mazungumuzo na Balozi wa kudumu wa AU nchiniMarekani, Mhe. Amina Salum Ali leo Ijumaa Feb 14, 2014 alipotembelea...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI MPYA WA MALAWI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.

 Mhe balozi mpya wa Malawi Nector Mhura akipokelewa na Afisa ubalozi Swahiba Mndeme alipotembelea ubalozi.
 Mhe, balozi Liberata Mulamula kwenye picha ya pamoja na mgeni wake balozi wa Malawi Nector Mhura.
 Mhe, balozi wa Malawi nchini Marekani akiweka saini kwenye kitabu maalum cha wageni.
 Mhe, balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akimsikiliza kwa makini mwenyeji wake balozi Liberata Mulamula alipokua akijitambulisha.
  Mhe, balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akiwa...

 

11 years ago

GPL

MARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI‏

Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani) Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi mpya wa Senegal nchini Marekani atembelea ubalozi wa Tanzania Washington,DC leo Jumanne tarehe 10/02/2015.

  Balozi mpya wa Senegal nchini Marekani Mhe, Babacar Diagne alipotembelea ubalozi wetu mapema leo hii .   Mhe, Babacar Diagne akikaribishwa na mwenyeji wake Mhe, Liberata Mulamula kwenye ubalozi wa Tanzania Washington, DC. 
   Mabalozi hao wawili wakibadilishana machache kuhusu mambo yanayokabili bara la Africa kwa ujumla pamoja na uwepo wao kama mabalozi nchini Marekani.   Mabalozi hao wawili pichani wakiwa na mmoja wa maafisa wa ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani...

 

10 years ago

GPL

MAWAZIRI WA NCHI TANO AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC NCHINI MAREKANI‏

Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Harrison Mwakyembe ambaye alikua mwenyekiti wa mkutano wa kujiandaa kutiliana saini makubaliano ya biashara na uwekezaji wa nchi za Afrika Mashariki na Marekani. Utiliano saini huo utafanyika siku ya Alhamisi Februari 26, 2015 katika Ofisi za Wizara ya Biashara Marekani, kulia ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Richard Sezibera kutoka Burundi.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe Makalla atembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC marekani leo

Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula alipotembelea ubalozi wetu jijini Washington DC leo. Mhe Makalla yuko Marekani kwa ziara ya kikazi na mafunzo.

 

11 years ago

Michuzi

MARK CHILDRESS, BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI

Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani) Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Balozi huyo alipotembelea Ubalozi huo siku ya Alhamisi...

 

11 years ago

Michuzi

HARVARD CLUB OF WASHINGTON WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Harvard Club Of Washington, Bi. Caren A. Pauley akiutambulisha umoja wa wanafunzi waliowahi soma Chuo Kikuu cha Harvard waishio Washinton Metro Area kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula siku ya Jumatano July 2, 2014 umoja huo ulipotembelea Ubalozi wa Tanzania kwa ajili ya kukutana na jumuiya mbalimbali za Kitanzania na Taasisi zinazoshughulika na maswala ya Tanzania na kuweza kuongea pamoja kufahamiana na kubadilishana mawazo.Afisa Immaculata...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE PETER ILOMO KATIBU MKUU OFISI YA RAIS ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.

 Katibu mkuu ofisi ya Rais Mhe Peter Ilomo akiweka sahihi kwenye kitabu maalum cha wageni.
 Mhe Balozi Liberata Mulamula akibadilishana mawazo na Ndg, Israel Kamuzora ujumbe aluofuata na Mhe Katibu Mkuu ofisi ya Rais.
 Ndg, Israel Kamuzora ujumbe aluofuata na Mhe Katibu Mkuu ofisi ya Rais pamoja na Katibu Mkuu ofisi ya Rais Mhe Peter Ilomo mara baada ya kuwasili ubalozini.
 Mhe Balozi Liberata Mulamula kwenye picha ya pamoja na wageni wake kushoto ni Katibu Mkuu ofisi ya Raisi Mhe Peter Ilomo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani