Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MKOA MPYA WA DODOMA CHIKU GALAWA AFUNGUA WARSHA YA KUPINGA RUSHWA YA NGONO KATI YA MABOSI NA WATENDAJI WA CHINI


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifafanua jambo wakati alipokuwa akifungua Semina ya siku moja ya kutafuta namna ya kukabiliana na Rashwa mbalimbali ikiwemo ya Ngono kati ya viongozi na watendaji wa chini iliyoandaliwa na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA).Mwenyekiti wa Chama cha Majaji wanawake Tanzania Jaji Engera Kileo akizungumza katika semina hiyo.Shekh Husen Kuzungu akifafanua jambo wakati akichangia mada kwenye semina ya kutafuta namna ya kutokomeza Rushwa ya Ngono...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA AMUAPISHA MKUU MPYA WA WILAYA YA MPWAPWA MHE. ANTH0NY MAVUNDE

Mhe. Athony Mavunde akila kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (Hayupo Pichani) Mei 29,2015 Mhe. Athony Mavunde akitia saini hati ya kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa Mei 29,2015 Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Athony Mavunde (kushoto) akipongezwa na baba yake mzazi Ndg. Peter Mavunde mara baada ya kula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya Mei 29,2015 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 25, 2015 MKOANI DODOMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA WAZIRI MKUU

 TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA



Mkoa wa Dodoma

Anwani ya Simu REGCOM

Simu Nambari: 2324343/2324384

E-Mail No. ras@dodoma.go.tz

Fax No. +255 026 2320046






    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,

                            S.L.P.  914,

                              DODOMA.
Ndugu wananchi wa Mkoa wa Dodoma, tarehe 25 Oktoba, 2015 ni siku ya Uchaguzi Mkuu hapa nchini; ambapo, Watanzania wale wenye sifa za kupiga kura na waliojiandikisha, watapata...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI SOKO LA WAMACHINGA LA REHEMA NCHIMBI COMPLEX MJINI DODOMA AGOSTI 12, 2015

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (wa pili kushoto) akitembelea soko la wamachinga la Rehema Nchimbi Complex Mjini Dodoma wakati wa ziara yake ya ukaguzi sokoni hapo mapema leo, Wengine ni viongozi wa soko hilo. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akikagua eneo la vyoo vya soko la wamachinga la Rehema Nchimbi Complex Mjini Dodoma wakati alipotembelea soko hilo mapema leo.
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (katikati) akibadilishana mawazo juu ya changamoto za biashara na...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI DODOMA KUHUSU UCHAGUZI MKUU

  Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafuu Chiku Gallawa akifanunua jambo alipokuwa akifungua mkutano wa chama cha waandishi wa habari na wadau mbalimbali uliofanyika leo mjini Dodoma Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoani Dodoma, Bw. Habel Chidawal akizungumza jambo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa mkoa kufungua mkutano huo uliofanyika leo Mjini Dodoma
 Mwandishi wa kituo cha Televisheni ya Chanel Ten, Bw. Kuringe Mongi akitoa mada kuhusu Mahusiano kati ya waandishi wa habari na wadau...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA DODOM MH.CHIKU GALLAWA AFANYA ZIARA KITUO CHA WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA - NFRA KANDA YA KATI

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (mwenye kilemba) akioneshwa chakula kilichohifadhiwa kwenye kituo cha NFRA kanda ya kati mapema leo alipofanya ziara kituoni hapo kukagua akiba ya chakula. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (mwenye kilemba) akikagua akiba ya chakula kilichohifadhiwa kwenye kituo cha NFRA kanda ya kati mapema leo alipofanya ziara kituoni hapo eneo la kizota.  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (kushoto) akifanya ziara ya ukaguzi kwenye kituo cha hifadhi ya chakula...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA MOROGORO AFUNGUA WARSHA YA UHIFADHI IKISHIRIKISHA TANAPA NA BAADHI YA WADAU WA UHIFADHI

Viongozi wa ngazi ya juu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini kwa mikoa iliyo jirani na Hifadhi za Taifa wanakutana Nashera Hotel kujadili ushirikiano baina yao na Hifadhi za Taifa,(TANAPA) katika kupambana na uhalifu unaolenga Maliasili.

Mgeni Rasmi katika Warsha ya Mashirikiano kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mkuu wa Mkoa wa Mororgoro Joel Bendera (wa tatu toka kulia) akiwa na viongozi wengine,toka kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP, Leonard Paul, Mkuu wa...

 

9 years ago

StarTV

Mkuu wa Mkoa Dodoma apiga marufuku Posho Za Vikao Kwa Watendaji

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni mstaafu Chiku Galawa amepiga marufuku ulipaji wa posho za vikao vya kazi kwa wakuu wa idara na watendaji kutokana na utendaji usioridhisha.Aidha amewataka viongozi hao kukaa mara mbili kwa wiki ofisini, siku zilizobaki zikitumika kugagua kazi zilizofanywa na walio chini yao pamoja na kusikiliza kero za wananchi.

Agizo hilo linatolewa katika kikao cha ufunguzi wa baraza la madiwani wa  halmashauri ya kongwa  Galawa anafikia uamuzi huo kutokana na wilaaya hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MASHINDANO YA TUSA

Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Mh. Chiku Gallawa akisalimia na wachezaji wa timu ya Zanzibar Univestity wakati wa ufunguzi wa mashindano ya shirikirisho la vyuo vikuu Tanzania (TUSA) yatakayojumuisha michezo mbalimbali ambayo yanafanyika Katika chuo kikuu cha Dodoma. Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Mh. Chiku Gallawa akizungumza wakati akifungua mashindano ya shirikirisho la vyuo vikuu Tanzania (TUSA) yatakayojumuisha michezo mbalimbali ambayo yanafanyika Katika chuo kikuu cha Dodoma. washiriki mbalimbali...

 

10 years ago

GPL

MHE. CHIKU GALLAWA AZINDUA MSIMU WA KILIMO KWA MWAKA 2015 KATIKA MKOA WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akilakiwa na wananchi wa kijiji cha Damai Kondoa alipowasili kijijini hapo kuzindua msimu wa kilimo Mkoa wa Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akiwaelezea wananchi wa kijiji cha Damai Kondoa malengo ya kuzindua msimu wa kilimo mwaka 2015 Mkoani Dodoma.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani