MKUU WA MKOA WA MOROGORO AFUNGUA WARSHA YA UHIFADHI IKISHIRIKISHA TANAPA NA BAADHI YA WADAU WA UHIFADHI
Viongozi wa ngazi ya juu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini kwa mikoa iliyo jirani na Hifadhi za Taifa wanakutana Nashera Hotel kujadili ushirikiano baina yao na Hifadhi za Taifa,(TANAPA) katika kupambana na uhalifu unaolenga Maliasili.Mgeni Rasmi katika Warsha ya Mashirikiano kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mkuu wa Mkoa wa Mororgoro Joel Bendera (wa tatu toka kulia) akiwa na viongozi wengine,toka kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP, Leonard Paul, Mkuu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi25 Jul
11 years ago
MichuziMIJADALA YA UTALII,UHIFADHI,UJANGILI NA UJIRANI MWEMA WATAWALA KONGAMANO LA TANAPA NA WAHARIRI
10 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mhe. Nyalandu afungua mkutano wa uhifadhi wa wanyamapori Tanzania
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii wakati alipofungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha.
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na mdau wa masuala ya utalii na uhifadhi nchini, Willy Chambulo, muda mfupi baada ya kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji...
10 years ago
VijimamboKAIMU MKUU WA MKOA WA MOROGORO AFUNGUA RASMI BARAZA YA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NCHINI MKOANI MOROGORO
10 years ago
MichuziWAZIRI WA UTALII NA MALIASILI MHE. LAZARO NYALANDU AFUNGUA MKUTANO WA UHIFADHI WA WANYAMAPORI TANZANIA
10 years ago
MichuziWADAU WA KILIMO WAITAKA ANSAF KUTOA ELIMU ZAIDI YA UHIFADHI MAZAO YA NAFAKA MIKOANI
Baadhi ya washiriki...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA MPYA WA DODOMA CHIKU GALAWA AFUNGUA WARSHA YA KUPINGA RUSHWA YA NGONO KATI YA MABOSI NA WATENDAJI WA CHINI
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DfNerQm93lM/UwWqDebqGaI/AAAAAAAAAmY/2F7pt1D_cM8/s72-c/image.jpeg)
WARSHA YA KWANZA YA WADAU WA MFUKO WA MISITU TANZANIA INAYOFANYIKA MKOANI MOROGORO
![](http://4.bp.blogspot.com/-DfNerQm93lM/UwWqDebqGaI/AAAAAAAAAmY/2F7pt1D_cM8/s1600/image.jpeg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-hpqLT2rsxUY/UwWqE9k_0II/AAAAAAAAAmk/zuTa1veLEFE/s1600/image%5B1%5D.jpeg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-pE-ZBMUHzFE/UwWqEu1is2I/AAAAAAAAAmg/Lm7trq5xCVE/s1600/image%5B2%5D.jpeg)
Mfuko wa Misitu Tanzania ni Mfuko wa hifadhi ambao umeanzishwa kisheria kama njia endelevu ya kuwezesha uhifadhi wa rasilimali za misitu hapa nchini.Mfuko huu umeanzishwa kwa lengo la kukabiliana na changamoto za usimamizi wa rasilimali za misitu hasa katika kuimarisha utekelezaji wa Sera na Sheria ya Misitu.
Mfuko ilianza kazi...