Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WA KILIMO WAITAKA ANSAF KUTOA ELIMU ZAIDI YA UHIFADHI MAZAO YA NAFAKA MIKOANI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, , Yamungu Kayandabila akionyesha mbegu za mahindi zilizohifadhiwa kwenye ghala aina ya Silo, wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la wadau wa kusimamia upotevu wa nafaka baada ya kuvunwa. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, , Yamungu Kayandabila akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la wadau wa kusimamia upotevu wa nafaka baada ya kuvunwa.
 Baadhi ya washiriki...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WADAU WA ELIMU WAITAKA SERIKALI KUPANDISHA WASTANI WA UFAULU

Kaimu Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyuo na shule(TAMONGSCO) Taifa, Leonard Mao, akizungumza katika mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama hicho Kanda ya Mbeya uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Saut tawi la Mbeya.Mwenyekiti wa Kanda ya Mbeya wa Tamongsco, Mzee Asanga akitoa utambulisho katika mkutano huo.Wamiliki wa Shule na Vyuo, Wakuu wa Shule na Mameneja wakiwa kwenye mkutano mkuu wa Mwaka wa Tamongsco Kanda ya Mbeya.CHAMA cha wamiliki wa vyuo na shule zisizokuwa za Serikali(TAMONGSCO)...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakazi wa Kiromo waitaka Tasafa kutoa elimu ya ujasiriamali

Wananchi wa Kijiji cha Buma Kata ya Kiromo wilayani hapa, wameutaka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) kuangalia uwezekano wa kutoa elimu ya ujasiriliamali ili waweze kuwa na miradi endelevu badala ya kusubiri kuwezeshwa na wafadhili.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wa kilimo EAC walilia kuuza mazao nje ya nchi

Wadau wa kilimo katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamesema moja ya sababu inayokwaza sekta hiyo kupata maendeleo ni wakulima kuzuiwa kuuza mazao nje ya nchi zao.

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA MOROGORO AFUNGUA WARSHA YA UHIFADHI IKISHIRIKISHA TANAPA NA BAADHI YA WADAU WA UHIFADHI

Viongozi wa ngazi ya juu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini kwa mikoa iliyo jirani na Hifadhi za Taifa wanakutana Nashera Hotel kujadili ushirikiano baina yao na Hifadhi za Taifa,(TANAPA) katika kupambana na uhalifu unaolenga Maliasili.

Mgeni Rasmi katika Warsha ya Mashirikiano kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mkuu wa Mkoa wa Mororgoro Joel Bendera (wa tatu toka kulia) akiwa na viongozi wengine,toka kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP, Leonard Paul, Mkuu wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ansaf yazindua jukwaa la kilimo

TAASISI isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na masuala ya kilimo (Ansaf) leo inatarajia kuzindua jukwaa la wadau watakaoangalia mazao ya mikunde na nafaka ili kuondoa changamo zinazowakabili wakulima. Akizungumza na waandishi...

 

9 years ago

Michuzi

UHIFADHI WA MISITU NA UZALISHAJI WA MAZAO

Kuimarika kwa uhifadhi wa misitu katika misitu ya tao la Mashariki iliyoko kwenye milima ya Usambara kumesaidia kuboresha shughuli za kijamii kwa wananchi wanaoishi kwenye vijiji kuzunguka misitu hiyo katika wilaya ya Muheza na Korogwe mkoani Tanga, mashamba haya ya mpunga ni katika kijiji cha Mkwakwani kata ya Mnyuzi wilaya ya Korogwe yamestawi vizuri kutokana na juhudi hizo za uhifadhi wa misitu, zinazofanywa na wadau mbalimbali wa uhifadhi ikiwemo wakala wa huduma za misitu nchini TFS na...

 

11 years ago

Michuzi

TASO KUTOA ELIMU KWA WANALINDI KUHUSU UBORESHAJI WA KILIMO

Na Rose Masaka - MAELEZO
WANANCHI mkoani Lindi wanatarajiwa kuelimishwa njia bora na za kisasa za uvuvi, ufugaji na ukulima ili waweze kuboresha kipato chao na Taifa kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa leo mjini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakulima Tanzania(TASO) Engelbert Moyo wakati akiongea na waandishi wa habari.
Amesema kuwa wakati wa maonesho ya nanenane ambayo Kitaifa yanafanyika mkoani Lindi watajitahidi kuhakikisha wananchi wanajifunza teknolojia mpya za kilimo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Agra yazindua teknolojia mpya ya uhifadhi mazao

 Taasisi ya Mapinduzi ya Kijani Afrika (Agra) imezindua mradi wa majaribio ya teknolojia mpya ya uhifadhi wa mazao ili kukabiliana na tatizo la kuharibika wakati wa kusubiri soko.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani