Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UHIFADHI WA MISITU NA UZALISHAJI WA MAZAO

Kuimarika kwa uhifadhi wa misitu katika misitu ya tao la Mashariki iliyoko kwenye milima ya Usambara kumesaidia kuboresha shughuli za kijamii kwa wananchi wanaoishi kwenye vijiji kuzunguka misitu hiyo katika wilaya ya Muheza na Korogwe mkoani Tanga, mashamba haya ya mpunga ni katika kijiji cha Mkwakwani kata ya Mnyuzi wilaya ya Korogwe yamestawi vizuri kutokana na juhudi hizo za uhifadhi wa misitu, zinazofanywa na wadau mbalimbali wa uhifadhi ikiwemo wakala wa huduma za misitu nchini TFS na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Agra yazindua teknolojia mpya ya uhifadhi mazao

 Taasisi ya Mapinduzi ya Kijani Afrika (Agra) imezindua mradi wa majaribio ya teknolojia mpya ya uhifadhi wa mazao ili kukabiliana na tatizo la kuharibika wakati wa kusubiri soko.

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA UHIFADHI WA MISITU TANZANIA PROFESA SILAYO AWAKUMBUSHA WATANZANIA KUTUNZA MAZINGIRA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
KAMISHNA wa Uhifadhi wa Misitu Tanzania kutoka Wakala wa Huduma za Misitu nchini(TFS) Profesa Dos Santos Silayo amewakumbusha Watanzania wote kuhakikisha wanatimiza wajibu wao kutunza mazingira ili yaweze kuendelea kutoa huduma zake kama ambavyo tunatarajia ikiwemo ya hewa safi na kuifanya Dunia kusa mahali salama pa kuishi.
Pro.Silayo ameyasema hayo leo wakati akizungumzia Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika kila Juni 5 ya kila mwaka ambapo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watendaji, wafanyabiashara huhujumu mazao ya misitu

KATIKA kipindi hiki misitu nchini inaendelea kupungua kutokana na uharibifu unaofanywa na wananchi walio kandokando ya rasilimali hiyo. Mbali na misitu kuharibiwa na wananchi, pia baadhi ya watendaji wa serikali...

 

10 years ago

Habarileo

'Ushuru mazao ya misitu unaumiza wananchi'

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameahidi wananchi wa wilaya za Rufiji na Mkuranga, kuwa ataishauri Serikali ili iangalie uwezekano wa kupunguza ushuru unaotokana na misitu.

 

10 years ago

Mwananchi

DC awashukia wanaovuna mazao ya misitu Rufiji

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu ametangaza vita dhidi ya wavunaji haramu wa mazao ya misitu baada ya kuanza kutumika kwa taratibu mpya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtandao walalamikia utaratibu wa usafirishaji mazao ya misitu

MTANDAO wa Usimamizi wa Mazao ya Misitu Tanzania (TRAFFIC) umesema kuwa pamoja na kuwepo kwa sheria zinazotoa mwongozo wa bidhaa za misitu zinavyopaswa kusafirishwa, utaratibu huo umeshindwa kutekelezwa ipasavyo. Akizungumza...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Epukeni uzalishaji wa mazao sumu’

Wakulima nchini wametakiwa kuepuka kuzalisha mazao yenye sumu asili inayoweza kuathiri afya ya walaji.

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WA KILIMO WAITAKA ANSAF KUTOA ELIMU ZAIDI YA UHIFADHI MAZAO YA NAFAKA MIKOANI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, , Yamungu Kayandabila akionyesha mbegu za mahindi zilizohifadhiwa kwenye ghala aina ya Silo, wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la wadau wa kusimamia upotevu wa nafaka baada ya kuvunwa. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, , Yamungu Kayandabila akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la wadau wa kusimamia upotevu wa nafaka baada ya kuvunwa.
 Baadhi ya washiriki...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali yafanikiwa kudhibiti uvunaji haramu wa mazao ya misitu - Mafupa

Serikali yafanikiwa kudhibiti uvunaji haramu wa mazao ya misitu katika Hifadhi ya Msitu wa Mazingira asilia wa Chome (Shengena) Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro kwa kutumia ulinzi shirikishi unaohusisha vijiji 27 vinavyoizunguka hifadhi hiyo.
Hayo yamesemwa na Meneja wa Wakala wa huduma za Misitu Tanzania kanda ya Kaskazini (TFS) bw. Cuthbert Mafupa wakati wa ziara ya waandishi wa Habari waliotembelea hifadhi ya Chome na ile ya Amani iliyipo mkoani Tanga ili kujifunza na kuona hatua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani