Mtandao walalamikia utaratibu wa usafirishaji mazao ya misitu
MTANDAO wa Usimamizi wa Mazao ya Misitu Tanzania (TRAFFIC) umesema kuwa pamoja na kuwepo kwa sheria zinazotoa mwongozo wa bidhaa za misitu zinavyopaswa kusafirishwa, utaratibu huo umeshindwa kutekelezwa ipasavyo. Akizungumza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
UHIFADHI WA MISITU NA UZALISHAJI WA MAZAO


5 years ago
Michuzi11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Watendaji, wafanyabiashara huhujumu mazao ya misitu
KATIKA kipindi hiki misitu nchini inaendelea kupungua kutokana na uharibifu unaofanywa na wananchi walio kandokando ya rasilimali hiyo. Mbali na misitu kuharibiwa na wananchi, pia baadhi ya watendaji wa serikali...
11 years ago
Habarileo16 Sep
'Ushuru mazao ya misitu unaumiza wananchi'
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameahidi wananchi wa wilaya za Rufiji na Mkuranga, kuwa ataishauri Serikali ili iangalie uwezekano wa kupunguza ushuru unaotokana na misitu.
10 years ago
Mwananchi06 Dec
DC awashukia wanaovuna mazao ya misitu Rufiji
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Wakulima walalamikia kampuni kukiuka utaratibu
5 years ago
Michuzi
MLELE YATANGAZA UTARATIBU WA KUNUNUA MAZAO
Katavi
WILAYA ya Mlele mkoani Katavi yenye Halmashauri mbili za wilaya, imetenga vituo 80 vya kununulia mazao mbalimbali katika msimu wa 2020 huku wilaya hiyo ikiwa ni mara ya kwanza kuingia katika mfumo rasmi wa stakabadhi gharani.
Kati ya hivyo,Halmashauri ya Mpimbwe imetenga vituo 49 na Halmashauri ya wilaya Mlele imetenga vituo 31 huku wafanya biashara wakionywa kujiepusha kununua mazao kwa kutumia vipimo haramu.
Mkuu wa wilaya hiyo Rachel Kassanda amesema...
11 years ago
MichuziSerikali yafanikiwa kudhibiti uvunaji haramu wa mazao ya misitu - Mafupa
Hayo yamesemwa na Meneja wa Wakala wa huduma za Misitu Tanzania kanda ya Kaskazini (TFS) bw. Cuthbert Mafupa wakati wa ziara ya waandishi wa Habari waliotembelea hifadhi ya Chome na ile ya Amani iliyipo mkoani Tanga ili kujifunza na kuona hatua...
10 years ago
Michuzi.jpg)
VIONGOZI WA TANZANIA NA KENYA WAKUBALIANA KUKOMESHA BIASHARA HARAMU YA MAZAO YA MISITU
.jpg)