Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MKOA WA RUKWA ASHIRIKIANA NA UVCCM KATIKA MBIO ZA UZALENDO TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akipokea msafara wa pikipiki wa vijana wa CCM (UVCCM) ambao wanaendesha mbio za Uzalendo Tanzania zikiwa na lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar jana tarehe 07-04-2014. Mbio hizo za kitaifa zinahusisha msafara wa pikipiki tano zinazoongozwa na viongozi watatu wa UVCCM ambao wanakuwa kwenye gari, aidha zinashirikisha wadau mbalimbali wa UVCCM katika kuzifanikisha. Mbio hizo  zinahimiza vijana kudumisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MKUU WA MKOA WA RUKWA ASHIRIKI NA UVCCM KATIKA MBIO ZA UZALENDO TANZANIA

Msafara wa Mbio za Uzalendo Tanzania ukiondoka katika Ofisi ya Mkuu ya Mkoa wa Rukwa mara baada ya kupata baraka za kiongozi huyo na kusaini kitabu tayari kwa zoezi la mbio hizo katika Manispaa ya Sumbawanga na baadae kuelekea katika Mji Mdogo wa Laela. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya (kati) akiendesha duwa rasmi ya kuwaombea viongozi… ...

 

11 years ago

Michuzi

Miss Universe Tanzania washiriki fashion show Moscow ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania

 Betty Boniface Nelly Kamwelu
Warembo wawili wa waliowahi kushinda taji la Miss Universe, Nelly Kamwelu na Betty Boniface leo (Jumamosi) watapanda jukwaani mjini Moscow, Urusi kushiriki katika maonyesho ya mavazi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Warembo hao waliondoja nchini juzi na tayari wapo mjini Moscow kwa ajili ya maonyesho hayo ambayo pia yatashirikisha waonyesha mavazi mbali mbali wa Tanzania.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Compass Communications, Maria...

 

11 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE) WASHEREHEKEA SHEREHE ZA MIAKA 50 MUUNGANO WA TANZANIA

Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu,Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) akimpokea mgeni rasmi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano Tanzania, Mheshimiwa Dr. Hadef Jawa’n Al Dhaheri, Waziri wa Sheria wa UAE,katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Intercontinental,Abu Dhabi. Balozi Mbarouk akiwa na Chief of Protocol wa UAE Mhe. Shihab Al Faheem. Balozi Mbarouk akimuongoza Mgeni rasmi Mhe. Dr. Hadef Jawa’n Al Dhaheri, Waziri wa Sheria wa Umoja...

 

11 years ago

Michuzi

MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA NA USHIRIKIANO KATIKA UTUMISHI WA UMMA.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) katikati akiongea katika kipindi cha Jambo Tanzania kuhusu Mashirikiano katika Utumishi wa Umma katika miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, kulia ni Mh. James Mbatia, kushoto ni Mtangazaji wa TBC Shaban Kissu.

 

5 years ago

Michuzi

SALAMU ZA MAKAMU WA RAIS KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA MUUNGANO WA TANZANIA






Katika kipindi hiki cha kuelekea maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar, mimi kama Msimamizi Mkuu wa masuala yote ya Muungano napenda nitumie fursa hii kuzungumza machache na Watanzania wenzangu.

Moja; Nawapongeza Watanzania wote kwa kazi kubwa mnayoendelea kuifanya ya kuhakikisha Muungano wetu unazidi kuimarika siku hadi siku. Vilevile niwapongeze kwa kuwa na imani thabiti juu ya Muungano wetu kwa kuhakikisha mnautunza na kuuenzi kwa hali na mali.

Kupitia...

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 29 NOVEMBA, 2014

I:UTANGULIZI                                  a)Masuala ya jumla
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu.  Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani