Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA WILAYA YA KOROGWE AKUTANA NA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Leo Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo (kulia) alipata wasaa wa kuongea na mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba, Mhe Samuel Sitta (kushoto) .Mrisho Gambo amesema "Hakika mzee huyu ana hekima za kutosha na ni moja ya tunu za Taifa hili". PICHA NA MRISHO GAMBO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akutana na Viongozi wa Dini

PIX 1

Mhe. Mufti Sheikh Issa Shaaban Simba  akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta leo jijini Dar es Salaam wakati alipomtembelea kumuelezea maendeleo ya vikao vya Bunge linaloendelea mjini Dodoma.

PIX 3

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta (kulia) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ziara yake katika Ofisi za Bakwata kuelezea maendeleo ya cikao vya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Bakwata Suleiman...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu akiwa na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino waliotembelea Bunge Maalum la Katiba mjini dodoma leo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino waliotembelea Bunge Maalum la Katiba wakipigwa picha na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Zaynab Kawawa wakati wa mapumziko ya mchana ya Bunge hilo mjini Dodoma Aprili 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

GPL

MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya


MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel  Sitta amewahakikishia Watu wenye Ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika Katiba Mpya itakayopatikana.


Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.


Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...

 

11 years ago

Habarileo

Kificho Mwenyekiti wa muda Bunge Maalum la Katiba

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini hapa.

 

11 years ago

Mwananchi

Pandu achaguliwa mwenyekiti wa muda #Bunge Maalum la Katiba

Spika wa Bunge la Wawakilishi Zanzibar na Mbunge wa Bunge maalum la Katiba, Pandu Amir Kificho  amechaguliwa na wajumbe wa Bunge hilo kuwa Mwenyekiti wa muda.

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA ATEMBELEA VIONGOZI WA DINI

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Afrika Mashariki, Samweli Sitta akishuka kwenye gari alipokuwa ziarani leo kwenye Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Bakwata, Suleiman Lolila akisalimiana na Sitta alipowasili ofisi za Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam leo.…

 

11 years ago

GPL

MO DEWJI AAPISHWA RASMI MBELE YA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA


Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji (wa pili kushoto) akiteta jambo na baadhi ya Wajumbe wenzake wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo wakati wa sherehe fupi za kuapishwa kwa wajumbe hao. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji akielekea kula kiapo cha kulitumikia Taifa Bunge la Katiba.
Mjumbe wa Bunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani