Mkwanja wa Okwi watua Msimbazi
MAMBO yamenoga Mtaa wa Msimbazi baada ya juzi kupokea malipo ya kiungo wao mshambuliaji Emmanuel Okwi, aliyeuzwa kwenye klabu ya Sonderjyske FC ya Denmark.
Simba imepokea kiasi cha Dola 110,000 sawa na shilingi milioni 220, kama mauzo ya mchezaji huyo aliyesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea timu hiyo.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya usajili Simba, Zacharia Hanspope alisema wanashukuru kuona wamepata fedha hizo ambazo hivi sasa wanaweza kumsajili...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies31 Jul
Ndende Aonyesha Jeuri ya Mkwanja
MUIGIZAJI mkongwe wa filamu Bongo Hamisi Ndende amemzawadia mkewe gari kama shukrani kukubali kuolewa naye na kumzalia mtoto wa kike Hamida, msanii huyo alimtuza gari aina ya Paso mkewe Chau Uledi, katika shereha za harusi iliyofanyika hivi karibuni.
“Mara nyingi katika ndoa zawadi hutolewa na kama kamati au wazazi lakini mimi kwa upendo wangu nimeamua kumzawadia mke wangu zawadi ya gari mimi kama mimi kama shukrani kwa mke wangu kudumisha mapenzi yetu,” Ndende.
Ndende anasema kuwa...
11 years ago
Bongo516 Jul
New Music: D Knob — Njaa ya Mkwanja
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LDRZ*VdxUTF*O3NKbKeRfmKJrc9IsyEELF0D5Wz2Qg5BpzpU5Oxp3QvkMNIELb7uGTPDpkKLwGqKVEqCG*lzGpIBcQs2VCu4/mpekkeppekkke.jpg?width=650)
OYA MWANA, MWENYE MKWANJA HANUNIWI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mza-*42r4qj5QCVxBL2B2C17w5rJc2G1ARKv4BQXuBaAE056OC2U78XrqA0vy-TMXK2frJEIDOBopSVUOI08sjEnJUaisYJb/tiko.jpg?width=650)
TIKO: TUSIBADILI DINI KISA MKWANJA
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
‘Mkwanja’ waitia wazimu Stand United
BAADA ya kuingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya madini Acacia Mining, uongozi wa timu ya Stand United ya Shinyanga, umesema una fedha za kumsajili mchezaji yeyote ndani ya Afrika Mashariki na Kati.
Mkataba huo uliosainiwa juzi umeifanya timu hiyo iliyopanda daraja msimu wa 2013/014, kupokea kiasi cha bil.2.4, kutoka kampuni hiyo.
Akizungumza na Raia Tanzania jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa ufundi wa kikosi hicho, Muhibu Kanu alisema, wanashukuru kuona neema nzuri...
9 years ago
Bongo518 Nov
Hii ni kazi nyingine inayomuingiza mkwanja Jay Moe
![1390049_1490632847895369_3642028_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/1390049_1490632847895369_3642028_n-300x194.jpg)
Usipomsikia Jay Moe kwenye redio usidhani hayuko busy kutafuta mkwanja.
Akizungumza na Planet Bongo ya EA Radio, Jay Moe alisema anajihusisha na masuala ya ujenzi.
“Fursa ziko nyingi ukiwa mtu fulani mashuhuri kwahiyo unaweza ukapata nafasi nyingi na unaweza ukazichagamkia kupitia celebrity status,” alisema.
“Mimi najihusisha na masuala ya ujenzi, kuinvest kwenye ardhi zaidi, kwahiyo napata pesa kwaajili hiyo.”
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Gisele Bundchen:Mwanamitindo anayevuta ‘mkwanja’ mrefu zaidi