Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mlinzi aidai shule Sh105 milioni

Mlinzi wa Shule ya Sekondari Nkoanrua iliyopo katika Halmashauri ya Meru mkoani hapa, Naftali Ole Lomaiyani amemuomba Rais Jakaya Kikwete kuamuru alipwe Sh105 milioni anazodai kutokana na kazi yake hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Aidai halmashauri Urambo Sh500 milioni

 Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mahakama Kuu Kanda ya Tabora inadaiwa fidia ya Sh500 milioni kutokana na uzembe wa mtumishi wake na kumsababishia mlalamikaji ulemavu wa maisha.

 

5 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15 KWA SHULE TATU ZA SEKONDARI JIJINI DAR

BENKI ya NMB, imekabidhi msaada wa viti, meza na madawati vyote vikiwa na thamani ya Sh. Milioni 15 kwa ajili ya Shule za Sekondari Kibamba na Kinzudi na Shule ya Msingi Makuburi Jeshini, zilizoko wilayani Ubungo jijini Dar es Salaam.
Hafla ya kukabidhi msaada huo ilifanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Kibamba, ambako Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd alimkabidhi msaada huo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Makori (aliyekuwa mgeni rasmi).
Alisema Kibamba Sekondari yenye...

 

10 years ago

Habarileo

Watoto milioni 2 hawako shule

ZAIDI ya watoto milioni 1.7 wenye rika lengwa waliopaswa kuwepo shule, hawapo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kutoandikishwa, kuacha na kutoroka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule za msingi zahitaji madawati milioni 3

SERIKALI imesema shule za msingi nchini zinahitaji jumla ya madawati milioni 3.3 na kwamba yaliyopo ni milioni 1. 8. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya wasichana milioni 130 hawaendi shule

Bi Julia Gillard anasema kuwa kuwekeza elimu ndio ufunguo wa kupunguza umasikini duniani.

 

10 years ago

Vijimambo

Diwani aidai CCM fidia ya bilioni nne

Diwani wa CCM kata ya Magomeni, Julian Bujugo
Diwani wa CCM kata ya Magomeni Dar es Salaam, Julian Bujugo, amekishtaki chama hicho akitaka kimlipe fidia ya Shilingi bilioni nne kwa kumsababishia hasara.

Bujugo, aliwaambia wanahabari kuwa amefungua shauri la madai na mlalamikiwa ni Jumuiya ya Wazazi ya CCM.

Alisema hatua hiyo inatokana na jumuiya hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Abdallah Bulembo, ‘kumpora’ Chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole cha mjini Bagamoyo, ambacho ni mali ya jumuiya hiyo.

Hata...

 

10 years ago

Michuzi

MILIONI 40 ZACHANGISHWA KWA UJENZI WA MAABARA YA SHULE YA SEKONDARI

Mwenyekiti wa klabu ya Gymkhana Dioniz Malinzi akipiga mpira wakati wa ufunguzi wa mchezo wa gofu kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maktaba na vifaa vya kompyuta vya Shule ya Sekondari ya Mtakuja.
Na Beatrice Lyimo- Maelezo
Bahari Rotary Klabu ikishirikiana na HANSA GROUP wamefanya harambee ya tano kwa ajili ya kuchangia Shule ya Sekondari Mtakuja iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Harambee hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana kwa kuwa shindanisha washiriki kucheza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Japan yachangia sh. milioni 160 shule ya msingi Kakuni

DSC_0144

Kaimu Balozi wa Japan, Bw. Kazuyoshi Matsunaga akisoma risala fupi mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) wakati wa hafla fupi ya utiaji saini mkataba wa msaada wa shilingi milioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Awali ya Kakuni wilayani Mlele Machi 6, 2015 kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

 *Waziri Mkuu aomba Watanzania wamuunge mkono

SERIKALI ya Japan imetoa msaada wa dola za Marekani 90,286 sawa na sh. milioni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Milioni 59/- zatumika kujenga nyumba , vyoo Shule ya Munguli

DSC03381 (2)

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile, katika picha.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu

HALMASHAURI ya wilaya ya Mkalama mkoani Singida,imetumia zaidi ya shilingi 59 milioni kugharamia ujenzi wa nyumba ya mtumishi,vyoo na ununuzi wa vitanda na magodoro ya shule ya msingi ya bweni, kijiji cha Munguli ambayo ni maalum kwa jamii ya Wahadzabe tu.

Hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo,Bravo Lyapambile,wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani