Diwani aidai CCM fidia ya bilioni nne
Diwani wa CCM kata ya Magomeni, Julian Bujugo
Diwani wa CCM kata ya Magomeni Dar es Salaam, Julian Bujugo, amekishtaki chama hicho akitaka kimlipe fidia ya Shilingi bilioni nne kwa kumsababishia hasara.
Bujugo, aliwaambia wanahabari kuwa amefungua shauri la madai na mlalamikiwa ni Jumuiya ya Wazazi ya CCM.
Alisema hatua hiyo inatokana na jumuiya hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Abdallah Bulembo, ‘kumpora’ Chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole cha mjini Bagamoyo, ambacho ni mali ya jumuiya hiyo.
Hata...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Nov
RC ahimiza fidia ya bilioni 9.7/- Mbegani
HALMASHAURI ya wilaya ya Bagamoyo imetakiwa kuandaa vizuri tathmini ya wakazi 1,500 wa Mbegani ili waweze kulipwa fidia ya Sh bilioni 9.7 na kuondoka kwenye eneo hilo.
11 years ago
Mwananchi06 May
Wananchi waidai Serikali fidia ya Sh10 bilioni
11 years ago
Mwananchi14 Jul
IPTL yamtaka Kafulila kulipa fidia ya Sh310 bilioni
9 years ago
Bongo509 Nov
Ribery aifungulia kesi CNN, adai fidia ya shilingi bilioni 3.2
![6b2b3ad7-f89d-4643-9063-4a4da85314b8-2060x1236](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/6b2b3ad7-f89d-4643-9063-4a4da85314b8-2060x1236-300x194.jpeg)
Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya FC Bayern Munich, Frank Ribery amekishtaki kituo cha televisheni cha Marekani, CNN akikidai fidia ya dola milioni 1.5 sawa na shilingi bilioni 3.2 za Kitanzania.
Ribery amekifungulia kesi kituo hicho cha TV kwa kutumia picha ya mwanasoka huyo katika kuelezea story juu ya matibabu ya cryotherapy – matibabu yanayohusisha kuuweka mwili kwenye sehemu kavu au yenye baridi kali ili kupunguza maumivu au kuponyesha kabisa.
Mwanasheria wake, Carlo...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Sk9CMnR8xXo/VMXmwZdSeSI/AAAAAAACWOY/hoy7FKUlrCo/s72-c/mtikila.jpg)
*MTIKILA AMSHITAKI MOKIWA, ADAI FIDIA YA SH BILIONI 1 KWA KUDHALILISHWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Sk9CMnR8xXo/VMXmwZdSeSI/AAAAAAACWOY/hoy7FKUlrCo/s640/mtikila.jpg)
10 years ago
MichuziIDARA YA UHAMIAJI YAINGIZA SH.BILIONI 474 AWAMU YA NNE YA RAIS JAKAYA KIKWETE
Akizungumza na waandishi wa habari leo Kamishina wa Fedha na Utawala,Piniel Mgonja amesema kuwa katika awamu ya nne uhamiaji imeweza kufanya kazi ya kisasa kutokana na mifumo pamoja na ujenzi wa Chuocha kuendeleza maafisa wa idara hiyo.
Amesema katika utoaji wa hati ya kusafiria...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pD2sQnAMifE/Xk_rQVJLgoI/AAAAAAALets/3o4FdrYK4uc5zMc4joF86at41mAz7wVmQCLcBGAsYHQ/s72-c/01f58e31-b610-4a32-af8a-09bbc866d1d5.jpg)
TARURA KUTENGENEZA BARABARA ZA KILOMITA 332 NA VIVUKO SITA KWA SH BILIONI NNE JIJI LA DODOMA
Charles James, Michuzi TV
KATIKA kuhakikisha Jiji la Dodoma linaendana na hadhi ya Makao Makuu ya Nchi, Wakala wa Barabara za vijijini na mijini Tanzania TARURA) jijini humo limepanga kutengeneza na kufanyia marekebisho miundombinu ya barabara ili kuondoa changamoto wanazokutana nazo wananchi.
Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA jiji la Dodoma, Eng Geofrey Mkinga wakati akiwasilisha mpango na bajeti ya matengenezo ya barabara kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kwenye kikao cha baraza la madiwani.
Eng...
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Diwani CCM lawamani
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata Chimala, wilayani Mbarali, Mbeya kimemtaka diwani wa kata hiyo, Hussen Vayahe (CCM), kurudisha matofali zaidi 2,500 mali kata hiyo anayodaiwa kuyachukua na kujengea...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Diwani CCM mbaroni Singida