Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


*MTIKILA AMSHITAKI MOKIWA, ADAI FIDIA YA SH BILIONI 1 KWA KUDHALILISHWA

Mchungaji Christopher Mtikila, amefungua kesi katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kumshitaki Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania Dk. Valentino Mokiwa.Msingi wa kesi ni kwamba Askofu Mokiwa alimshika makalio Mtikila na kwamba kitendo hicho kilichotokea Juni 25 mwaka jana walipokutana maeneo ya Ilala, kimemdhalilisha.Mtikila alikuwa ameitwa na Askofu kujadili tamko la la Mtikila kwamba Kanisa la Anglican linajihusisha na ufisadi, ukiwemo wizi wa vifaa vya Hospitali ya Mission ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Ribery aifungulia kesi CNN, adai fidia ya shilingi bilioni 3.2

6b2b3ad7-f89d-4643-9063-4a4da85314b8-2060x1236

Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya FC Bayern Munich, Frank Ribery amekishtaki kituo cha televisheni cha Marekani, CNN akikidai fidia ya dola milioni 1.5 sawa na shilingi bilioni 3.2 za Kitanzania.

riber

Ribery amekifungulia kesi kituo hicho cha TV kwa kutumia picha ya mwanasoka huyo katika kuelezea story juu ya matibabu ya cryotherapy – matibabu yanayohusisha kuuweka mwili kwenye sehemu kavu au yenye baridi kali ili kupunguza maumivu au kuponyesha kabisa.

riber11

Mwanasheria wake, Carlo...

 

10 years ago

Habarileo

Mshitakiwa adai kuteswa, kudhalilishwa polisi

MSHITAKIWA katika kesi ya ugaidi, Abdallah Maginga, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kumruhusu kutohudhuria siku za kesi na abaki magereza, kutokana na maumivu makali anayodai anayapata sehemu za siri alikominywa na polisi na kuingiziwa mti kwenye haja kubwa.

 

11 years ago

Michuzi

Jaji adai fidia ya milioni 300/= kwa ajali ya uzembe wa dereva

Jaji wa Mahakama Kuu, Grace Mwakipesile amefungua kesi ya madai ya kulipwa fidia ya Sh milioni 300 kutokana na majeraha na maumivu aliyoyapata katika ajali aliyoipata mkoani Shinyanga.
Amefungua kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya dereva Kamota Hassan, Michael Mosha na kampuni ya bima ya Zanzibar. Kesi hiyo itatajwa Agosti 4 mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa.
Katika hati ya madai, Jaji Grace anaiomba mahakama iamuru walalamikiwa hao wamlipe fedha hizo kutokana...

 

11 years ago

Mwananchi

Adai fidia vyeti vyake kutumika

Kampuni ya Indepth Scientific Company Ltd ya Kenya inayoendesha shughuli zake nchini imeburuzwa MmSh400 milioni kwa kutumia jina na vyeti vya Mtanzania Kelvin Martin katika shughuli zake bila ridhaa yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtikila adai amezuiwa kuchangia bungeni

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila amedai hataweza kuchangia tena katika mjadala wa Katiba kwa kuwa Ofisi ya Bunge imempiga marufuku kutokana na kauli zake.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mvulana aliyetuhumiwa kuwa 'gaidi' adai fidia

Mvulana wa umri wa miaka 14 aliyezoa umaarufu baada ya kukamatwa kwa kupeleka saa ya kujitengenezea shuleni, anadai fidia ya dola milioni 15 ($15m).

 

10 years ago

Habarileo

RC ahimiza fidia ya bilioni 9.7/- Mbegani

HALMASHAURI ya wilaya ya Bagamoyo imetakiwa kuandaa vizuri tathmini ya wakazi 1,500 wa Mbegani ili waweze kulipwa fidia ya Sh bilioni 9.7 na kuondoka kwenye eneo hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi waidai Serikali fidia ya Sh10 bilioni

Serikali imepokea maombi ya fidia ya Sh5 bilioni kutoka kwa wananchi waliochomewa nyumba na kuharibiwa vifaa mbalimbali katika vurugu zilizosababishwa na masuala ya gesi mkoani Mtwara.

 

10 years ago

Vijimambo

Diwani aidai CCM fidia ya bilioni nne

Diwani wa CCM kata ya Magomeni, Julian Bujugo
Diwani wa CCM kata ya Magomeni Dar es Salaam, Julian Bujugo, amekishtaki chama hicho akitaka kimlipe fidia ya Shilingi bilioni nne kwa kumsababishia hasara.

Bujugo, aliwaambia wanahabari kuwa amefungua shauri la madai na mlalamikiwa ni Jumuiya ya Wazazi ya CCM.

Alisema hatua hiyo inatokana na jumuiya hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Abdallah Bulembo, ‘kumpora’ Chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole cha mjini Bagamoyo, ambacho ni mali ya jumuiya hiyo.

Hata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani