Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtikila adai amezuiwa kuchangia bungeni

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila amedai hataweza kuchangia tena katika mjadala wa Katiba kwa kuwa Ofisi ya Bunge imempiga marufuku kutokana na kauli zake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

*MTIKILA AMSHITAKI MOKIWA, ADAI FIDIA YA SH BILIONI 1 KWA KUDHALILISHWA

Mchungaji Christopher Mtikila, amefungua kesi katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kumshitaki Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania Dk. Valentino Mokiwa.Msingi wa kesi ni kwamba Askofu Mokiwa alimshika makalio Mtikila na kwamba kitendo hicho kilichotokea Juni 25 mwaka jana walipokutana maeneo ya Ilala, kimemdhalilisha.Mtikila alikuwa ameitwa na Askofu kujadili tamko la la Mtikila kwamba Kanisa la Anglican linajihusisha na ufisadi, ukiwemo wizi wa vifaa vya Hospitali ya Mission ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtikila, Kingunge kivutio bungeni

WAJUMBE wawili wa Bunge Maalumu la Katiba, Kingunge Ngombare-Mwiru (CCM) na Mchungaji Christopher Mtikila (DP), wamekuwa kivutio kwa wajumbe wenzao wakati wa kuapishwa kutokana na misimamo yao. Mtikila  amekuwa na...

 

11 years ago

GPL

MTIKILA AWA BURUDANI BUNGENI

MWENYEKITI wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila amekuwa burudani ya aina yake katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kutokana na misimamo na misemo yake wakati akizungumza na waandishi wa habari. Mtikila hukusanya idadi kubwa ya waandishi kila anapozungumza huku baadhi ya wanasiasa na wajumbe wengine wa Bunge la Katiba wakimshangaa. Jumatatu iliyopita, Mtikila alishangaza alipodai kwamba Baba wa Taifa,...

 

11 years ago

Mwananchi

Watano waongoza kuchangia bungeni

>Tangu kuanza kwa Bunge Maalumu la Katiba, Februari 18 mwaka huu,  wajumbe watano  wanaonekana kuwa ndio wachangiaji wakuu katika mjadala wa Rasimu ya Kanuni za Bunge hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbunge adai kuvuliwa nguo bungeni,Kenya

Mbunge mmoja mwanamke nchini Kenya sasa amejitokeza na kudai kwamba wabunge watatu wanaume walijaribu kumvua nguo.

 

11 years ago

Mwananchi

Lissu adai hati iliyopelekwa bungeni ni ‘feki’

Hata baada ya Wajumbe wa Bunge Maalumu kugawiwa nakala za Hati ya Muungano, Tundu Lissu, ameendelea kung’ang’ana kuwa haipo, ni feki.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge adai kwa miaka 15 hajawahi kusinzia bungeni

DSC06174

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Diana Chilolo (wa kwanza kushoto) akipokelewa na kikundi cha uhamasishaji cha Nyota cha Mandewa manispaa ya Singida. Chilolo alifanya ziara ya kikazi katika manispaa ya Singida hivi karibuni na kuwataka wanawake kuondoa woga na kujitokeza kwa wingi kuomba nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao.

DSC06218

Mbunge wa viti maalum mkoa na Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida,  Diana Chilolo,akizungumza na wajumbe wa Baraza la UWT Singida vijijini ambapo aliwataka...

 

11 years ago

Daily News

Mtikila alleges intimidation


Mtikila alleges intimidation
Daily News
A CONSTITUENT Assembly (CA) member, Reverend Christopher Mtikila, has called for respect for all assembly members during sessions, because they represent views from different groups. Speaking on Thursday, Rev Mtikila who is also the chairman of ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani