Mlipuko watikisa shule Nigeria
Kumetokea shambulizi katika shule moja mjini Potiskum Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili24 Jan
Mlipuko mkubwa watikisa Cairo
Maafisa wa Misri wanasema kuwa kumetokea mlipuko mkubwa wa bomu nje ya Makao makuu ya polisi jijini Cairo ambapo watu 4 wamefariki na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa.
11 years ago
BBCSwahili27 Feb
Mlipuko mkubwa watikisa Mogadishu
Mshambuliaji wa kujitoa muhanga amejilipua akiwa ndani ya gari na kuwauwa watu 12 na kujeruhi wengine wanane.
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mlipuko watikisa uwanja wa ndege Somalia
Bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari limelipuka nje ya uwanja wa ndege mjini Mogadishu Somalia.
11 years ago
BBCSwahili24 Jul
Mlipuko waua 40, Nigeria
Watu 40 wameuawa katika milipuko miwili iliyotokea mjini Kaduna, kaskazini mwa Nigeria.
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Mlipuko wawaua watu 47 Nigeria
Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa kumetokea mlipuko mkubwa katika soko moja kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno ambapo watu 47 wamefariki huku wengine 55 wakijeruhiwa katika mji wa sabon gari.
11 years ago
BBCSwahili15 Jan
Mlipuko wawaua 17 Maiduguri,Nigeria
Watu 17 wameuawa mwenye mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari mjini Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.
11 years ago
BBCSwahili02 Jun
Mlipuko mwingine Nigeria - 14 wauawa
Polisi kaskazini mashariki mwa Nigeria wanasema kuwa shambulizi la bomu limewauwa zaidi ya watu 14 na kuwajeruhi wengine wengi.
11 years ago
BBCSwahili02 May
Mlipuko mkubwa watokea Nigeria
Mlipuko umetokea katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja karibu na eneo ambako kulitokea shambulizi baya la bomu mwezi uliopita.
11 years ago
BBCSwahili19 May
5 wauawa katika mlipuko Nigeria
Watu 5 akiwemo mshambuliaji wauawa katika mlipuko wa bomu katika gari, kaskazini mashariki mwa Nigeria
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania