Mlipuko waua 40, Nigeria
Watu 40 wameuawa katika milipuko miwili iliyotokea mjini Kaduna, kaskazini mwa Nigeria.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Mlipuko waua 21 na kujeruhi 50 Nigeria
Kumetokea shambulizi la bomu mbele ya soko lenye shughuli nyingi katika mji mkuu wa Nigeria Abuja na kuwauwa zaidi ya watu 21.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxUWhj8CVoZzNhm40te9mKKkUxbvbkhCP3rspnbKrOXCj4k67jLctKU0AIhOeiQF-amNEBUD730LcbZtxmomBmn8p9djDoLr/abuja13.jpg?width=650)
MLIPUKO WA BOMU WAUA 21 ABUJA NIGERIA
Mulipuko wa bomu umetokea katika duka kubwa la manunuzi la Emab Plaza lililo karibu na Banex Plaza, jijini Abuja, Nigeria.…
11 years ago
BBCSwahili01 Jul
Mlipuko waua watu watano Nigeria
Takriban watu watano wameripotiwa kuuawa katika mlipuko uliotokea sokoni Maiduguri kaskazini mwa Nigeria.
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
Mlipuko waua watu 10 nchini Nigeria
Takriban watu 10 wameuawa na wengine 14 kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea mjini Bauchi Kaskazini mwa nchi hiyo.
11 years ago
GPLMAJANGA NIGERIA: MLIPUKO MWINGINE WAUA 18, WENGINE 19 WAKIJERUHIWA
WATU 18 wamepoteza maisha huku zaidi ya 19 wakijeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea mji wa Mubi nchini Nigeria jana jioni. Polisi nchini humo wamethibitisha kutokea kwa mlipuko huo. Inadaiwa kuwa mlipuko huo ulilenga chumba kimoja cha burudani ambapo watu walikuwa wakitazama mechi ya soka kwenye televisheni. Mpaka sasa hakuna kundi lolote lililothibitisha kuhusika na shambulio hilo japo polisi wanadai yawezekana ni kundi la...
9 years ago
BBCSwahili10 Oct
Mlipuko waua 30 Uturuki
Milipuko miwili imetokea kwenye mkutano wa hadhara kati kati mwa mji mkuu wa Uturuki na kuwaua karibu watu 30
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/26rh2i2B5MYuWPi64NJlgLurvgdKcvuxO*HyP4fn7bhq51cNtEC-QQ7u9qPQa8kbTHpaLBbhEg-zhjft9XgvQWH*Wy1j8wFA/mlipuko.jpg)
MLIPUKO WAUA 12 CHINA
Taswira kutoka eneo la Kiwanda cha Nanyang ulipotokea mlipuko. TAKRIBANI watu 12 wamefariki dunia huku 33 wakijeruhiwa katika mlipuko uliotokea jana katika kiwanda cha kutengeneza fataki jijini Liling katika Mkoa wa Hunan nchini China. Moshi ukiwa umetanda katika eneo la kiwanda hicho. Mlipuko huo ulitokea katika Kiwanda cha Nanyang ambapo mamlaka husika haikusema chanzo chake. Matukio ya kulipuka viwanda vya… ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfjPs1y5mofwHOXM6mcSIoOLpHSIrSFKj3SN-AK-jBCZjlngjzC*ddBnwGSY0Ie4htnzhweYwZV6P1zNMTJZhAhV/majeruhi.jpg?width=650)
MLIPUKO WAUA 200 UTURUKI
Mmoja wa majeruhi akitolewa eneo la tukio. MLIPUKO katika mgodi wa makaa ya mawe nchini Uturuki umesababisha vifo vya zaidi ya wachimbaji migodi 200 na kujeruhi wengine kadhaa. Mlipuko huo umetokea jana katika mji wa Soma mkoa wa Manisa. Inahofiwa kuwa wachimbaji mgodi wengine wengi bado wamefukiwa na kifusi chini ya mgodi. Wakati mlipuko huo ulipotokea, wafanyakazi 580 walikuwa ndani ya mgodi huo japo inaaminika… ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAHm7-1ddMTKEnSslVCnnB81WolM4ZF9dtLb6iFMk4IP7d*8Np7g0lpq8cW5p48A30Lpm*WyJcrIRrPpRLCTTMvc/mlipuko.jpg)
MLIPUKO WA BOMU WAUA SOMALIA
WATU kadhaa wameripotiwa kupoteza maisha katika mlipuko mkubwa wa bomu la kujitoa muhanga katika mji wa Mogadishu nchini Somalia karibu na uwanja wa ndege. Mlipuko huo umesababiswa na mtu aliyejitoa muhanga kwa kujilipua akiwa ndani ya gari lililokuja na kuegesha katikati ya msafara wa magari ya Shirika la Umoja wa Mataifa na magari yaliyokuwa yakiusindikiza msafara huo. Kundi la wapiganaji wa kiislamu la Al- Shaabab mara kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania