Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MNYIKA AMTAKA SPIKA KUSITISHA SHUGHULI ZA BUNGE LEO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Spika wa Bunge la Uholanzi na ujumbe wake wamtembelea Spika Makinda leo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) alipofika Ofisini kwake leo kwa ziara ya kikazi. Wengine ni baadhi ya Wabunge kutoka Bunge la Uholanzi alioambatana nao. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo Ofisni kwake na Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) pamoja na ujumbe wa wabunge wanane kutoka Bunge la uholanzi ambao wapo nchini kwa ziara ya kikazi.

 

9 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE MHE. ANNE MAKINDA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA TUME YA UTUMISHI YA BUNGE LA NIGERIA OFISINI KWAKE LEO

 Spika wa Bunge ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume  ya Utumishi ya Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiongea na  Ujumbe wa Tume ya Utumishi kutoka Bunge la Nigeria walipomtembelea leo Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Ujumbe huo upo nchini kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya Utumishi na Uendeshaji wa Bunge ambapo Mhe. Makinda aliambatana na wajumbe wa Tume ya Bunge la Tanzania. Kulia kwake ni Kiongozi wa Msafara wa Tume hiyo Mhe. Yepwi Stephen Dako. Bunge la Tanzania leo kwa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda...

 

10 years ago

Mwananchi

Spika Bunge la Eala kikaangoni leo Arusha

 Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dk Margret Zziwa huenda akang’olewa kwenye nafasi yake katika kikao cha dharura cha Bunge hilo kinachofanyika jijini Arusha leo.

 

9 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE, JOB NDUGAI AMEREJEA LEO KUTOKA INDIA

SPIKA WA BUNGE, JOB NDUGAI AMEREJEA LEO KUTOKA INDIA ALIKOKUWA KWA AJILI YA MATIBABU. AWASHUKURU WATANZANIA KWA MAOMBI YAO. AELEZEA HALI YAKE KUWA NI IMARA KABISA. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu.  Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Naibu Waziri wa Nishai na Madini Mhe. Medard...

 

5 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI MKUU KASSIM MALIWA WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 19 WA BUNGE JIJINI DODOMA LEO.


HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA KUMI NA TISA WA BUNGE

1.           MheshimiwaSpika, naomba nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujaalia afya njema na kutuwezesha kufika siku hii ya leo ambayo naiita kuwa ni siku ya kihistoria kwetu.
2.           Nasema kuwa ni ya kihistoria kwa sababu Bunge lako Tukufu linahitimisha shughuli za Bunge la Kumi na Moja (11) la...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Spika na Naibu Spika wa Bunge la Burundi ikulu jijini Dar es salaam

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal Nyabenda, naibu Spika wa Bunge hilo Mhe. Agathon Rwasa pamoja wajumbe wengine ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

BREAKING NEWS:Spika Makinda akatisha Bunge kunusuru fujo Bungeni Dodoma leo

8517823001

Spika wa Bunge, Anne Makinda  saa moja iliyopita mjini Dodoma, ameamua kukatisha kikao cha 19 cha Bunge kilichokuwa kikiendelea mjini humo kufuaatia Wabunge kusimama  kwa kumshinikiza Waziri Mkuu atoe kauli ya juu ya Zoezi la uandikishaji wapigakura katika Daftari la Kudumu la Wapigakura  lililokuwa likiendelea Mkoa wa Njombe, huku likikabiliwa na changamoto nyingi, ikiwamo mashine za Biometric Voter Registration (BVR), kushindwa kufanya kazi ipasavyo na matatizo juu ya zoezi hilo.

maji-mnyika

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani