Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnyika awapa somo wenyeviti wa mitaa

NAIBU Katibu Mkuu (Bara) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John MnyikaNAIBU Katibu Mkuu (Bara) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amewataka Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji waliochaguliwa kupitia chama hicho kutotumia ofisi za serikali kujinufaisha wenyewe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wenyeviti 73 wa mitaa waapishwa

HALMASHAURI ya Mji Kibaha imeapisha wenyeviti wa mitaa 73 na wajumbe 365, ikiwa ni ishara ya viongozi hao kuanza kazi rasmi.

 

10 years ago

Habarileo

Wenyeviti mitaa Kinondoni wabanwa

WENYEVITI wa Serikali za Mitaa katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam wametakiwa kuwasimamia watendaji wao kutekeleza miradi ya kijamii ili kuharakisha hali bora za maisha kwa wananchi wao.

 

10 years ago

Mtanzania

Vurugu uapishaji wenyeviti wa mitaa

Pg 1ENEO la viwanja vya Anatouglou jijini Dar es Salaam, jana lilikumbwa na vurugu wakati wa kuapishwa kwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa mitatu katika Halmashauri ya Wilaya ya Ilala.
Katika vurugu hizo aliyekuwa mgombea wa CCM, Mtaa wa Kigogo Fresh B, Kata ya Pugu, Mariano Haruna, alijikuta akipata fedheha baada ya kudhalilishwa kwa kuvurumishiwa matusi, kukunjwa na kuchaniwa shati lake.
Haruna, alifanyiwa vitendo hivyo na watu wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

10 years ago

Habarileo

Wenyeviti wapya mitaa wataka mishahara

WENYEVITI wa serikali za mitaa na wajumbe wao katika Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji wameapishwa jana kuanza kutumikia wananchi kulingana na nafasi zao.

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani, wenyeviti wa mitaa hatarini kufutwa

Mwenyekiti wa Alat, Dk Didas MasaburiMCHAKATO wa Katiba mpya unaoendelea umewaweka madiwani na wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji katika hali ya sintofahamu, baada ya Rasimu ya Pili ya Katiba, kutotamka chochote kuhusu Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

Mtanzania

Ngumi, mabomu uapishaji wenyeviti wa mitaa

Pg 1

Na Aziza Masoud na Ferdnanda Mbamla, Dar es Salaam
ENEO la Riverside Ubungo jijini Dar es Salaam, jana liligeuka uwanja wa mapambano baada ya polisi kutumia risasi za moto na mabomu ya machozi ili kunusuru hafla ya kuapishwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Kinondoni.
Dalili za kuibuka kwa fujo zilianza kuonekana kwa wananchi waliokuwa wamekusanyika nje ya hoteli ya Land Mark ambako hafla hiyo ilipangwa kufanyika, waliokuwa wakipinga kuapishwa kwa waliokuwa wagombea uenyekiti...

 

5 years ago

Michuzi

RC Gambo Awaonya Wenyeviti wa Mitaa vijiji na Vitongoji

Na Ahmed Mahmoud Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesitisha kwa muda kuendelea na shughuli yeyote kwenye eneo la Losirwa kata ya Moshono hadi Serikali itakapotoa maelekezo Mengine ambapo amewaonya Wenyeviti wa Mitaa kuacha kuchukuwa fedha na kutoa vibali vya Ununuzi wa Ardhi kwenye maeneo yenye Migogoro.

Aidha Amezitaka halmashauri za wilaya kuacha kutoa vibali vya ujenzi kwa wananchi kwenye maeneo yenye migogoro kwa kuwa inaleta mikanganyiko kwenye jamii na kuleta ugumu wakati wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwigulu awapa somo wafanyabiashara

01

Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akifungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) leo jijini Dar es salaam.

Na Mwandishi wetu

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba, amewataka wafanyabiasha nchini, kutengeneza miradi ambayo inatambulika ili iwe rahisi kukopeshwa fedha.

 Aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa kufungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo  Mashariki na...

 

11 years ago

Habarileo

RC awapa somo wabunge wa Dar

WABUNGE wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametakiwa kuacha siasa chafu zinazochochea kukwamisha utekelezaji wa ‘Operesheni Safisha Jiji’ inayoendelea .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani