Wenyeviti 73 wa mitaa waapishwa
HALMASHAURI ya Mji Kibaha imeapisha wenyeviti wa mitaa 73 na wajumbe 365, ikiwa ni ishara ya viongozi hao kuanza kazi rasmi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa kutoka katika Majimbo ya Ilala,Ukonga na Segerea waapishwa leo


10 years ago
GPL
WENYEVITI NA WAJUMBE WA SERIKALI ZA MITAA KUTOKA KATIKA MAJIMBO YA ILALA, UKONGA NA SEGEREA WAAPISHWA LEO
10 years ago
Vijimambo07 Jan
Wenyeviti waapishwa kwa mabomu Dar

Hafla ya a kuapisha wenyeviti wateule wa serikali za mitaa wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana ilitawaliwa na mapambano na kulilazimisha Jeshi la Polisi kuingilia kati kwa kutumia mabomu kurejesha amani huku likiwatia mbaroni watu saba.
Hafla hiyo iliingia dosari baada ya wananchi kuvamia eneo la uapishaji na kuanza kutembeza mkong’oto na kuwajeruhi wanachama wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa madai...
10 years ago
GPL
VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WAAPISHWA DAR
10 years ago
Mtanzania23 Jan
Vurugu uapishaji wenyeviti wa mitaa
ENEO la viwanja vya Anatouglou jijini Dar es Salaam, jana lilikumbwa na vurugu wakati wa kuapishwa kwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa mitatu katika Halmashauri ya Wilaya ya Ilala.
Katika vurugu hizo aliyekuwa mgombea wa CCM, Mtaa wa Kigogo Fresh B, Kata ya Pugu, Mariano Haruna, alijikuta akipata fedheha baada ya kudhalilishwa kwa kuvurumishiwa matusi, kukunjwa na kuchaniwa shati lake.
Haruna, alifanyiwa vitendo hivyo na watu wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
10 years ago
Habarileo11 Feb
Wenyeviti mitaa Kinondoni wabanwa
WENYEVITI wa Serikali za Mitaa katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam wametakiwa kuwasimamia watendaji wao kutekeleza miradi ya kijamii ili kuharakisha hali bora za maisha kwa wananchi wao.
10 years ago
Mtanzania07 Jan
Ngumi, mabomu uapishaji wenyeviti wa mitaa
Na Aziza Masoud na Ferdnanda Mbamla, Dar es Salaam
ENEO la Riverside Ubungo jijini Dar es Salaam, jana liligeuka uwanja wa mapambano baada ya polisi kutumia risasi za moto na mabomu ya machozi ili kunusuru hafla ya kuapishwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Kinondoni.
Dalili za kuibuka kwa fujo zilianza kuonekana kwa wananchi waliokuwa wamekusanyika nje ya hoteli ya Land Mark ambako hafla hiyo ilipangwa kufanyika, waliokuwa wakipinga kuapishwa kwa waliokuwa wagombea uenyekiti...
10 years ago
Habarileo09 Jan
Wenyeviti wapya mitaa wataka mishahara
WENYEVITI wa serikali za mitaa na wajumbe wao katika Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji wameapishwa jana kuanza kutumikia wananchi kulingana na nafasi zao.
11 years ago
Habarileo24 Feb
Madiwani, wenyeviti wa mitaa hatarini kufutwa
MCHAKATO wa Katiba mpya unaoendelea umewaweka madiwani na wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji katika hali ya sintofahamu, baada ya Rasimu ya Pili ya Katiba, kutotamka chochote kuhusu Serikali za Mitaa.